#COVID19 Al-Jazeera: President Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are dangerous

1. Wewe ndio umedai hazipo effective sasa nakuuliza umefanya empirical study kugundua haziko effective au umetumia hisia tu?? Unajua maana ya burden of proof?

Mabeberu tafiti zao zipo humu (angalia hiyo video inachambua comparative study ya vaccine dev't ya pfizer, Astrazeneca et al...)

So wewe unayebisha ndio prove otherwise coz facts on the ground ni kwamba zimepitia clinical trials na zimekuwa certified. Unless ww una elimu kubwa ya epidemiology kuliko Academia wa Bernard Hopkins, CDC-US, na WHO nzima!!

2. Hapa pia una rely on heresay without facts kma Rais wenu tu..... Unaweza eleza hyo Corona ilitengenezwa maabara gani. Btw nani aliyesema biological attacks haziwezi pata antidote? Maana formula ni kwamba ukishajua tu hyo corona iliyotegenezwa imetumia ingredient gani basi ww unaenda kufanya reverse engineerinh kupata kinga!! So sio hoja kwamba kitu kikitengenezwa hakiwezi kuwa na tiba.

Ni vizuri mijadala ijikite kwa facts sio hearsay
 

Attachments

Ndio faida ya kuongea bila kufanya utafiti.
unataka utafiti gani kwasasa ili uridhie kuwa chanjo ya/za covid si salama kwa sasa?, media kibao zimeripoti vifo baada ya chanjo pamoja na madhara mengine; unataka utafiti gani juu ya hili?
Take time upitie SOP na protocol za vaccines, utaridhika kuwa its premature kwa chanjo ya/za covid kuanza kutumika.
 
Rais wetu mwanasayansi ka make headline

Halafu kanisa sasa ndo linataka tahadhari
Na Rais mwanasayansi anataka maombi

The iron of it
Nchi hii haijakaukiwa vi-wonder hata siku moja: wanasayansi kuamini katika uponyaji wa imani(maombi) na makasisi katika utabibu wa kisayansi!
 
Yaani unaona mimtu inakimbilia hatari na ww kama nyumbu unaunganisha kufuata mkumbo kisa usiji'dissociate!? Hii akili au matope! We'll stand as winner in this as well! God Almighty 🙏 is in our side!

Time will tell. Kuna vitu we have a choice. Kuna vitu hakuna namna. That is the sad reality about living in this planet.
 
The most stupid president in the global history.
Scientist who believes in NYUNGU????
 
Labda wewe utusaidie: mh. rais alifanya lini na wapi utafiti akajua hizo chanjo hazifai?
 
Wao AL JAZEERA watueleze hiyo Chanjo ya mbwa kama ni salama. Mimi ninaungana na rais wangu kukataa...
 
Wenyewe wana ushahidi wa kumpinga rais wetu, Au wanataka tu kumkaba koho raisi wetu
 
Hebu ucmnasibishe Mtukufu wa daraja na huu ujinga wako"kuna msemaji mmoja aliwahi kusema hakika ujinga wa utoton unaweza ukamalizika lkn ujinga wa ukubwan lazma utakufa nao tu "
 
Mtukufu wa Darja anatuambia tuseme ukweli japo ukweli huo unauma!

Unajua kwanini alisema Ukweli unauma?
Hebu ucmnasibishe Mtukufu wa daraja na huu ujinga wako"kuna msemaji mmoja aliwahi kusema hakika ujinga wa utoton unaweza ukamalizika lkn ujinga wa ukubwan lazma utakufa nao tu "
 
So wewe unayebisha ndio prove otherwise coz facts on the ground ni kwamba zimepitia clinical trials na zimekuwa certified. Unless ww una elimu kubwa ya epidemiology kuliko Academia wa Bernard Hopkins, CDC-US, na WHO nzima
Your browser is not able to display this video.
 
Umekariri chanjo lazima iwe sindano ya kupiga begani

Tumetumia mitishamba na nyungu na Corona ikapeperushwa hadi nyie wasomi makini mkavua Barakoa na kuacha vitakasa mikono mkashiriki kampeni zote za uchaguzi bila ya kanuni zozote za kujilinda

Pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…