Al Jazeera Walipokuja Kufanya Mazungumzo Tanzania na Mimi 2007 (Dar es Salaam) na 2008 (Tanga)

Al Jazeera Walipokuja Kufanya Mazungumzo Tanzania na Mimi 2007 (Dar es Salaam) na 2008 (Tanga)

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,526
Reaction score
34,057
AL JAZEERA WALIPOKUJA KUNIHOJI TANGA NA DAR ES SALAAM

1775073958203.png

Mahojiano na Al Jazeera nyumbani kwangu Masaki, Dar es Salaam 2007

1775073804996.png

Mohamed Val Mtangazaji wa Al Jazeera akinihoji nyumbani kwangu Bombo, Tanga (2008)
1775074095241.png

Huyu kijana kutoka Al Jazeera sikumbuki jina lake alinifahamisha kuwa alipata kuishi Kinondoni
miaka ya 1970 na alikuwa akiniona nyumbani kwetu
1775074221330.png

Hii ndiyo crew ya Al Jazeera iliyokuja nyumbani kwangu Masaki​
 
Hongera sana mzee alikuja kukuhoji juu ya jambo gani?

Mlitumia lugha gani?
 
Kiingereza.
Walinihoji historia ya siasa ya Tanganyika.
Shikamoo Baba, kipindi hicho ulikua chama gani cha siasa na hivi sasa je?
Na je, unaonaje mwelekeo wa Nchi yetu kwa sasa?

Samahani Baba kwa usumbufu.
 
Shikamoo Baba, kipindi hicho ulikua chama gani cha siasa na hivi sasa je?
Na je, unaonaje mwelekeo wa Nchi yetu kwa sasa?

Samahani Baba kwa usumbufu.
GTI,
Wakati huo 2006 nilikuwa mwanachama wa CUF.

Hivi sasa niko ACT Wazalendo.

Sina la kusema kuhusu mwelekeo wa nchi.
 
Back
Top Bottom