Al Jazeera wasema inachofanya Israel sasa haikuwahi fanya before

Al Jazeera wasema inachofanya Israel sasa haikuwahi fanya before

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Screenshot_2024-10-04-21-33-52-907_com.instagram.android.jpg
Sitasitakih
Screenshot_2024-10-04-21-31-34-650_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2024-10-04-21-33-17-247_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2024-10-04-21-39-28-315_com.instagram.android.jpg
 
Jino kwa jino ndio imani yao. But uzuri hawachokozi; ni wapole kama hua ukiishi nao kwa amani ila wabaya kama simba ukiwapanda kichwani. Wacheni kuichokoza Israel mupate amani.
 
Taarifa zilishavuja ndege za US na UK ndizo zilizoshambulia Yemen.
 
Hata lile bomu lililomuua kiongozi wa Hizbullah ni msaada wa UK.
 
Jino kwa jino ndio imani yao. But uzuri hawachokozi; ni wapole kama hua ukiishi nao kwa amani ila wabaya kama simba ukiwapanda kichwani. Wacheni kuichokoza Israel mupate amani.
Una uhakika hawachokoz au hutaki kujifunza unataka training bongo.. mm naishia hapa
 
Akirudishiwa asianze toa milio yeye na bwana ake USA.
 
Back
Top Bottom