Al Jazeera wasema inachofanya Israel sasa haikuwahi fanya before

Al Jazeera wasema inachofanya Israel sasa haikuwahi fanya before

Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amezitaka nchi zote za kiarabu kuungana Ili wamshughulikie Adui

Khamenei amesema Adui wa Waislam ni mmoja tu

BBC
Ameanza kuomba msaada wa mtungo tena? Au ameangalia deep ameona hiki kina sikiwezi
 
Wanaouwa hovyo siyo magaidi?
Mi naamini hata kunguni hulalamika tunapowaangamiza, ni kwakuwa huwa hatuelewi lugha yao tu.

HUwa tukishindwa kuwaangamiza kwa dawa tunachoma magodoro, na vitanda. Kisha tunaanza upya, magaidi kama kunguni hudhani ni haki kunyonya damu za binadamu.

KUzazi cha kunguni hakitaisha, lakini hakikubaliki kuishi ma binadamu nyumba moja.

Vivyo hivyo kwa magadi, hawataisha lakini kila watakapoibuka wataangamizwa tu.

Na inawezekana kuishi bila ugaidi, kama inavyowezekana kuishi bila kunguni.

Vita huleta heshima, tusubirie mshindi tumpe heshima zake, ndio kwanza lugi imeanza, tusubiri ligi iishe, tusishangilie mechi tukasahau, hata mshindi huwa ana nyukwa na baadhi ya timu. Lakini mwisho tutampa kombe.
 
Back
Top Bottom