Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Eid Mubarak watanzania wote.
Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika, Al Masry wameshinda mchezo mmoja tu, huku wakifungwa mechi moja na kudroo mechi tatu.
Katika mechi hizo tano amefungwa goli 7 na kufunga goli 7.
Hii inatoa taswira kwamba, Simba wakiwaheshimu Al Misry katika mechi ya mkondo wa kwanza kuna namna wanaweza kupata walau droo kisha wakaja kumalizia kazi kwa Mkapa.
Hakuna linaloshindikana, mimi kama mdau wa soka, naona kabisa Simba akivuka kwenda nusu fainali.
Hii wanavuka😅