Al Masry wawasili salama Dar tayari kupambana na Simba SC

Al Masry wawasili salama Dar tayari kupambana na Simba SC

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Klabu ya Al Masry ya nchini Misri imewasili salama bin salmini jijini Dar es salaam tayari kuwavaa simba sc.Klabu ya Al masry imewasili na nyota wao Islam Salah mdogo wake Mohammed Salah wa Liverpool fc pia nyota wengine kama Aristide Bance na Ahmed Coma wamewasili salama.Mchezo baina ya Al masry na simba sc utachezwa siku ya jumatano saa kumi na mbili jioni.

fbfe420c0f497371e93ef8086d92e59b.jpg
c18f2cbf2812b4f1e9fa5838ede4d52b.jpg



Wakati huo huo beki wa simba zimbwe jr AKA Tshabalala anatarajia kukabana na jitu lenye miraba minne ,jitu refu ,striker mwenye nguvu zake Bance [emoji23] [emoji23]

6531a875970d9f3f9496610ce8d2b4b4.jpg


e9eb5d9947db2358421d4326bd07c658.jpg
 
Hao jamaa wamekodi basi la azam? Basi watakodi hadi uwanja wa kupigia tizi
Kiutaratibu timu mwenyeji hulazimika kuwapokea wageni wao.Kwa hiyo, ni SIMBA ndiyo itakuwa imefanya hayo.
 
Hahaaaa huyo jamaa ukilinganisha zimbwee mhh ina frahisha sana
 
Back
Top Bottom