Klabu ya Al Masry ya nchini Misri imewasili salama bin salmini jijini Dar es salaam tayari kuwavaa simba sc.Klabu ya Al masry imewasili na nyota wao Islam Salah mdogo wake Mohammed Salah wa Liverpool fc pia nyota wengine kama Aristide Bance na Ahmed Coma wamewasili salama.Mchezo baina ya Al masry na simba sc utachezwa siku ya jumatano saa kumi na mbili jioni.
Wakati huo huo beki wa simba zimbwe jr AKA Tshabalala anatarajia kukabana na jitu lenye miraba minne ,jitu refu ,striker mwenye nguvu zake Bance [emoji23] [emoji23]
Wakati huo huo beki wa simba zimbwe jr AKA Tshabalala anatarajia kukabana na jitu lenye miraba minne ,jitu refu ,striker mwenye nguvu zake Bance [emoji23] [emoji23]