Simba nguvu moja[emoji23] [emoji23]Mtoa mada picha mbili za mwisho umeweka kwa ajili ya kunivunja mbavu au?????
Anyway SIMBA MBELE KWA MBELE
Kiutaratibu timu mwenyeji hulazimika kuwapokea wageni wao.Kwa hiyo, ni SIMBA ndiyo itakuwa imefanya hayo.Hao jamaa wamekodi basi la azam? Basi watakodi hadi uwanja wa kupigia tizi
Simba damu mojaaaSimba nguvu moja[emoji23] [emoji23]
Mtoa thread ni Vyura FC.. Akae akijua Simba SC ni Big Brand hataweza kupambana nayo.SIMBA huwa hawatishwi na post za namna hii.
Hiyo damu itamwagika kwa al masrySimba damu mojaaa
Umeonaeee...ndo post zao.Mtoa thread ni Vyura FC.. Akae akijua Simba SC ni Big Brand hataweza kupambana nayo.