Al Masry wawasili salama Dar tayari kupambana na Simba SC

Afya ya huyu mwenzetu ni mgogoro.
 
Simba mmeshatoka ..Yanga anawabusu kichogoni..mwakani matopeni kama kawaida yenu
 
Simba mbeleeeeeee(mh ile sio kwa mbavu huyu, bwireeee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ) ah nilisahauu, thimbwa wooyoo
 
Mechi anacheza Simba, uoga wanapata watu wa YANGA.. Mara mdogo wa Mohamed Salah, angekua ana kiwango na yeye angekua Europe..


Ni sawa useme simba kuna mdogo wake Samattah
 
Abdallah Seif King Kibadeni maoni yake kuhusu Simba Vs Al Masry na Young Africans Vs Township Rollers bila kusahau ushauri wake kwa wachezaji na viongozi wa klabu hizo kongwe wafanye nini ktk michuano hiyo ya kimataifa wapate matokeo chanya nyumbani. .

Source: Azam TV
 
Kwanini macho ya watu wengi yapo kwenye mechi ya simba na siyo yanga?
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji16] [emoji16] [emoji23] [emoji23] jemeni hz pic mnamchokoza haji manara
 
wachezaji wetu huwa wanakula nini? wamekauka ni kama wanakula mirungi kila siku
 
Embu nyie Yanga kuweni wazalendo basi. Kesho tushirikiane kuishabikia Simba, dhidi ya waarabu... Sisi sote ni Watz, na huu ni mpira tu. Michezo ni furaha wajameni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…