Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Hawa hawawezi kutufunga nyumbani nasema tena hawana, hapo wapo kwao kazi ya kujiangusha ovyo mpira haueleweki ndo waje watufunge kwetu hao subutu.Point 1 muhimu sana
Kwa jinsi nilivyowaona hawa jamaa wana uwezo wa kutupiga kwa Mkapa