Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Hawa wakimbizi ingelikuwa wanacheza na simba wangelifungwa 7 kama horoya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho inakuuma, comment yako inadhihirishaFor 28 yrs....waache wapangwe tuu na mabomu ili wa emerge kwakweli..
😀 😀 😀 😀
CAF nao binadamu ujue...
tulia utapaliwa mwaka huu mtaongea kila sentesiFor 28 yrs....waache wapangwe tuu na mabomu ili wa emerge kwakweli..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
CAF nao binadamu ujue...
🤣🤣🤣🤣kweliAngalia tu usije vaa boksa kichwani kisa Yanga hii.
Naunga mkono hoja....Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!!
Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao!
Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni sawa na kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!!
kabla haijacheza maneno yalikuwa haya?Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!!
Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao!
Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni sawa na kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!!
Huyo hana akili huyotulia utapaliwa mwaka huu mtaongea kila sentesi