Al Merrikh: Timu yenyewe ni ya wakimbizi, haishiriki ligi, inacheza huku ikiwaza mabomu yanavyopigwa nyumbani!! Kuifunga siyo kipimo!!

Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!!

Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao!

Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni sawa na kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!!
Naunga mkono hoja....
 
kabla haijacheza maneno yalikuwa haya?
 
Back
Top Bottom