Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,505
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Tehe teh tehe....ushuzi unakusumbua wewe, ukilala Unaota Tanzania daima, ukiamka Tanzania daima....ama kweli linawatoa jasho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Wao kenya walidai wameishambulia kwa kuwa imepeleka majeshi somalia, haya na Tanzania wanaidai nini? Au ndio kutaka kuwasilimisha watanzania wote? Basi wanapenda kuona damu za watu wasio na hatia! Kisa ni dini sio? He kwa Tanzania watachemsha,na kuanzia sasa wale wenye midevu na suruali fupi tuwachunguze sana nyendo zao kila siku!
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Tuanze lecture:
Mama wa mtume Muhammed ni nani?
Jibu...Asha
Bi Khadija ana uhusiano gani na Mud'd?
Jibu..mkewe
Huenda ntapona maana kama hujui ni bullet tu
Issue yoyote inayohusu usalama, binafsi huwa siipuuzi!!!
Hivi gazeti hili lina uhusiano wowote na Mwananchi Communications yenye damu na propaganda za kwao Kenya?
Wakati huohuo, Babile amesema Mtanzania mmoja alikamatwa Kenya akishukiwa kuwa ni mmoja magaidi waliovamia jengo la Westgate.
Bila kumtaja jina, alisema mtu huyo ni mkazi wa Arusha na alikamatwa muda mfupi baada ya kuingia Kenya akitoa Tanzania, akitumia usafiri wa mabasi ya abiria.
Walipomkamata wakatuletea taarifa sisi, tukatafuta kwenye database zetu na information za ndani zikatuonyesha hakuwa mtu hatari, tukamuachia.
Kilichowatia hofu na kumshuku mtu huyu ni muda alioingia Kenya na muda wa tukio lilipotokea lakini tumeangalia taarifa zote tukagundua hakuwa na shaka, alisema Babile.
haya sasa sisi TZ tumewakosea nini?
Maana Kenya na UG wanasema sababu wamepeleka majeshi Somalia. watutajie basi na sababu ya kuvamia TZ. Ukichunguza hawa watu wameamua tu Dunia isitawalike baaaaasi, hawana sababu za msingi, they are MONSTERS period!
Vice verse. Tanzania watu watano wakipita basi WATATU ni waislamu
Sababu itakuwa kumkamata Sheikh wa kikundi cha uamsho Zanzibar na Sheikh PondaJe wameelezwa kwa nini Tanzania inataka kushambuliwa? maana makundi ya kigaidi hayashambulii tu bila ya sababu
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...