Al Qaeda yaitisha Tanzania

Al Qaeda yaitisha Tanzania

Wao kenya walidai wameishambulia kwa kuwa imepeleka majeshi somalia, haya na Tanzania wanaidai nini? Au ndio kutaka kuwasilimisha watanzania wote? Basi wanapenda kuona damu za watu wasio na hatia! Kisa ni dini sio? He kwa Tanzania watachemsha,na kuanzia sasa wale wenye midevu na suruali fupi tuwachunguze sana nyendo zao kila siku!

magaidi wanasababu nyingi, lakini inawezekana wanataka reginal attension, pia sisis kama taifa tunaiunga mkono kazi inayofanywa na majeshi ya umoja wa africa na un kule somali vilevile kuwatisha raia wa kigeni hasa nchi za magharibi maana wachuki nazo na wamewekeza kwa uwingi nchini mwetu. Mungu wa mbinguni awalegeze mikono na kuwapofua macho na jeshi la mbinguni lenye mamlaka kuu kuliko jeshi la wanadamu lipigane ktk nafasi yetu, amen.
 
Lakin mwandishi ameonyesha hadi source. Minadhani sio habari ya kupuuza, ok au kwasababu imeandikwa na gazeti moja tu
 
Kwanini watu wengine hawathamini zawadi ya uhai tuliyopewa sote na Mungu?
Kwanini watu wengine wajione wao wana haki ya kuchagua nani afe lini na kwa njia gani?
Tanzania umewakosea nini hawa perpetrators?...mbona u mpole, na hata ukiambiwa "I WILL HIT YOU" unanyamaza?
Nimeuliza naomba jibu nchi yangu!:A S 39:
 
mhhhhhhhhhhh tunawasubiri waje utafikiri wao wanaishi milele. nyambafu
 
Jamani, vyombo vya dola kuweni makini na usalama wetu, wahalifu wa tindikali na miripuko ya mabomu imekuwa hadithi.
 

Wakati huohuo, Babile amesema Mtanzania mmoja alikamatwa Kenya akishukiwa kuwa ni mmoja magaidi waliovamia jengo la Westgate.

Bila kumtaja jina, alisema mtu huyo ni mkazi wa Arusha na alikamatwa muda mfupi baada ya kuingia Kenya akitoa Tanzania, akitumia usafiri wa mabasi ya abiria.

“Walipomkamata wakatuletea taarifa sisi, tukatafuta kwenye database zetu na information za ndani zikatuonyesha hakuwa mtu hatari, tukamuachia.

“Kilichowatia hofu na kumshuku mtu huyu ni muda alioingia Kenya na muda wa tukio lilipotokea… lakini tumeangalia taarifa zote tukagundua hakuwa na shaka,” alisema Babile.


Copy kwa
Preta
paradiso
Filipo
Ngongo

Nina hofu na wale jamaa wanaofanyaga mazoezi pale karibu na soko la Kilombero.
 
Sisi watz tumewakosea nini? kweli Ibilisi furaha yake ni kuua, kunyang'anya na kuharibu!
 
Duh ile mijamaa imekaa kishari shari sana.Kuna siku walimwona jamaa wa watu anatwanga bia huku kavalia kanzu wakamkwida na kumwachia kichapo cha nguvu kisa ana dhalilisha vazi la kiislam.
 
haya sasa sisi TZ tumewakosea nini?
Maana Kenya na UG wanasema sababu wamepeleka majeshi Somalia. watutajie basi na sababu ya kuvamia TZ. Ukichunguza hawa watu wameamua tu Dunia isitawalike baaaaasi, hawana sababu za msingi, they are MONSTERS period!

Ni nkuwafukuza wasomali wote. Pia ikumbukwe kuna hela billion 18 shs alikamatwa nazo Advocate Ngalo (bila kukosea kule Arusha), ni mambo ambayo yanaweza kuwafanya watuvamie. Mie naamini executive yetu inalielewa hilo na cabinet ijipange kinamna ya kukabiliana na majanga.
 
Vice verse. Tanzania watu watano wakipita basi WATATU ni waislamu

Sikutaka kujihusisha na Masuala ya POPULATION niliamua kutoa MATHEMATICALLY-NEUTRAL... I select number 3 yaani Mkristo Mpagani na Mwislamu...

Lakini wewe bado upo kwenye Mashindano kweli tutafika???
 
Ngoma inogile waje tu kupima ufanisi wa makomando"kwangu mm kufa ni faida na kuishi ni kristo maana nikiishi namtumikia kristo na ni kifa naenda kwa kristo"lakin machafuko hayana budi kuja ila ole wake yule yajae kwasababu yake maana ni heri akafungwa jiwe kubwa na kutupwa baharini
 
Back
Top Bottom