Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Mtume (Swalla Allahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam) kawaita Makhawaarij "Mbwa wa Motoni".Wameanza zamani sana hawa watu ila ajabu watu wanaohusisha na Uislamu wakati hata Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of Allah)ameshawakataa zamani watu wa aina hiiView attachment 2329681
It was narrated that Ibn Awfa said:
"The Messenger of Allah said: 'The Khawarij are the dogs of Hell.'"
حَدَّثَنَا أَبُو بَكْرِ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، حَدَّثَنَا إِسْحَاقُ الأَزْرَقُ، عَنِ الأَعْمَشِ، عَنِ ابْنِ أَبِي أَوْفَى، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ " الْخَوَارِجُ كِلاَبُ النَّارِ " .
| Grade: | Sahih (Darussalam) |
| Reference | : Sunan Ibn Majah 173 |
| In-book reference | : Introduction, Hadith 173 |
| English translation | : Vol. 1, Book 1, Hadith 173 |
Wametajwa wasifu wao katika Hadith tofauti tofauti zilizothibiti. Kuna kitabu kidogo niliwahi kukisoma kuhusu hawa watu.