Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo muda wako umewekeza kwenye kufuatilia taarabu na habari za habari za udaku kama avatar yako inavyoonyesha ndio maana mambo mengi yanayoendelea ulimwengu na yakielimu ni mweupe kichwani.Kuna sheikh mkubwa duniani anayepinga mambo kama haya?
Ukiwa na akili kama hizi ni bora ungeishia Fb na hii ndio tabu wakiristo (wengi baadhi) unachukua kitu bila kutafakari kama mnavyochukua maandiko yenu.
Mbona mashoga wengine hawajiiti mashoga na ukimuita shoga anakasirika nikupe mfano?Wewe unawaita hivyo,Wenyewe mbona hawajiiti makhawaarij...Wenyewe wanajiita Waislam wa kweli
Sawa ila Kuna dalili zilizokufanya wewe umuite shoga ...Hapa Kuna dalili gani ulizotumia kuwaita makwarij?Mbona mashoga wengine hawajiiti mashoga na ukimuita shoga anakasirika nikupe mfano?
Somalia Kuna nishati Gani?
Hii ndo nishati Gani?
Kwamba Congo pametulia!?..Hii ndo nishati Gani?
Congo imejaa rasilimali,mbona hawaendi?
Kwann waende kwenye Muslim majority countries TU?
Kwamba Congo Kuna vikundi vya kiislam?Kwamba Congo pametulia!?..
Somalia Ina Ina zaidi ya mapipa bil30 ya mafuta na gas plus uranium,na huo ni uchunguzi wa awali,Congo unakosema Pana vurugu,hapajatulia..hawatumii 'uislam' kwa kuwa hakuna uislam,lakini kwa nchi za waislam wanaitumia uislam kwa kuwa ni rahisi kuwaunganisha watu kwa itikadi hiyo na hivyo kupata wapiganaji,kutengeneza jeshi bila itikadi ni ngumuHii ndo nishati Gani?
Congo imejaa rasilimali,mbona hawaendi?
Kwann waende kwenye Muslim majority countries TU?
Kwahyo ni nani anayevuna haya mapipa huko somalia?Somalia Ina Ina zaidi ya mapipa bil30 ya mafuta na gas plus uranium,na huo ni uchunguzi wa awali,Congo unakosema Pana vurugu,hapajatulia..hawatumii 'uislam' kwa kuwa hakuna uislam,lakini kwa nchi za waislam wanaitumia uislam kwa kuwa ni rahisi kuwaunganisha watu kwa itikadi hiyo na hivyo kupata wapiganaji,kutengeneza jeshi bila itikadi ni ngumu
Sensa pekee yenye kipengele Cha dini tz ilifanyika 1958,waislam walikua 60%+..1968 tukafanya sensa,ikaonekana waislam 30%,kupeleka UN wakatuuliza Kama waislam wamekutwa na janga wakafa wao tu,ukawa mwisho wa kioengele Cha dini kwenye sensa...lakini Kama ungenisoma vizuri ungeona nimeandika Tanzania pia hizo vurugu zipo,zilikua kule mkuranga,kibiti,rufiji,Delta ya mto rufiji Ina mafuta...wakati vurugu zinaendelea mkuranga,magufuli alisema tushikamane,mabeberu wanatamani rasilimali zetu...uwe unafuatilia Mambo na kuyatafakariKwahyo ni nani anayevuna haya mapipa huko somalia?
Ukienda hivo, kila nchi Africa Ina rasilimali,je kila nchi Ina vurugu?
Nakuhakikishia hata hapa bongo siku uislam ukiwa majority, Hivo vikundi vitaanza...zenji walianza mashehe kuchoma makanisa mpaka wakafungwa na kikwete...Zenji Kuna rasilimali Gani?
Mi naona muache kutafuta kuwasingizia mabeberu kila tatizo linalotukumba kwenye jamii.
Huenda tukiacha hizo tunaweza kuendelea.
Kanisa gani zenji lilichomwa na mashrikg!?..wale masheikh walikamatwa kwa kuwa waliwaunganisha wazanzibar kupitia dini,pakawa hakuna cuf&ccm,na wakawa na mrengo wa siasa,hicho kilikua kitisho kwa ccm na muungano...Kwahyo ni nani anayevuna haya mapipa huko somalia?
Ukienda hivo, kila nchi Africa Ina rasilimali,je kila nchi Ina vurugu?
Nakuhakikishia hata hapa bongo siku uislam ukiwa majority, Hivo vikundi vitaanza...zenji walianza mashehe kuchoma makanisa mpaka wakafungwa na kikwete...Zenji Kuna rasilimali Gani?
Mi naona muache kutafuta kuwasingizia mabeberu kila tatizo linalotukumba kwenye jamii.
Huenda tukiacha hizo tunaweza kuendelea.
Dini ya UISLAM kipaumbele chake ni UTU WA MTUjamii isiyostaarabika inathamani dini zaidi ya utu, hawa ni watu wapuuzi na wasio jielewa.
Duh noma sana! Hii sikuisikia....Huyo sheikh anaitwa nani? Au una link nikacheki?Wapo kutoka incjmhi za kiarabu ola nimewasahau na bongo mbona kuna Sheikh alinusurika kulipuliwa kwa sababu ya kuwapinga hao hadharani na wengine walijeruhiwa kama sio kufariki katika huo mlipuko ...
Watu kama hao unawapuuza tu. Mtu anauliza kabisa eti ni Sheikh gani mkubwa au Mwanawachuoni aliyewapinga? Sisi tumuulize yeye ni nani katika Wanawachuoni wa kutegemewa ambae anawaunga mkono hawa mbwa wa motoni? hakuna. Sababu moja ya sifa yao huwa hawana Mwanachuoni. Huwachukua watu wajinga miongoni mwao wakawafanya Wanachuoni wao. Au wakapotosha kauli za Wanachuoni wale wa zamani sababu hawaelewi.Wapo kutoka incjmhi za kiarabu ola nimewasahau na bongo mbona kuna Sheikh alinusurika kulipuliwa kwa sababu ya kuwapinga hao hadharani na wengine walijeruhiwa kama sio kufariki katika huo mlipuko ...
Wapo kutoka incjmhi za kiarabu ola nimewasahau na bongo mbona kuna Sheikh alinusurika kulipuliwa kwa sababu ya kuwapinga hao hadharani na wengine walijeruhiwa kama sio kufariki katika huo mlipuko ...



(Reported by Ibn Mājah, no. 181, Hasan)“(The Khawarij) are the worst of killers who are slain under the sky, and the best of those killed are those who were killed by them. Those (Khawarij) are the dogs of Hell. They used to be Muslim people but they became disbelievers.”
Abu Ghālibasked: “O Abu Umamah, is that your opinion?” He said: “No! Rather I heard it from the Messenger of Allah.”
(Reported by At-Tirmidhee, no. 3270, Hasan)“Abu Umamah saw heads (of the Khawarij) hanging on the streets of Damascus. He said: ‘They are the dogs of the Hellfire and the worst of those those killed under the sky. The best dead men are those whom these [Khawarij] have killed.’ He then recited: “On the Day when some faces will become white and some faces will become black…” (3:106) until the end of the Ayah. I said to Abu Umamah: ‘Did you hear this from the Messenger of Allah (ﷺ)?’ He said: ‘If I had not heard it but one time, or two times, or three times, or four times – until he counted seven occasions – I would not have narrated it to you.'”
[1] Kitābush-Sharīʿah by al-Ājurī; Chapter: “Rebuking the Khawārij, and their evil Madhhab, the permissibility of killing them, and the reward for killing them and the one killed by them.” vol.1/325.“Neither the scholars of old nor of these times, ever differed about the Khawārij. They regarded them as an evil people who were disobedient to Allāh, the Mighty and Majestic, and His Messenger even though they prayed, fasted and exerted themselves in worship, and all of this was of no benefit to them, even though they were apparent in enjoining the good and forbidding the evil, and that did not benefit them because they were a people who interpret the Qur’ān upon their desires.” [1]
[1] Talbīs Iblīs by Ibn Jawzī; Chapter: The Devil’s deception of the Khawārij, p.91.“There are many long stories about them and their strange methodologies. I will not elaborate by mentioning them. Rather, the intent here is to study the deception of Iblīs, and how he deceived these fools, who reacted hastily to all that they encountered. They believed that ʿAlī bin Abī Tālib was wrong, and those who were with him from the Muhajirīn and the Ansār were also wrong, and that they themselves were upon the truth.
They made ḥalāl the blood of children, yet they did not allow the eating of any fruits of trees without paying for it. They tired themselves out with worship, and would frequently stay awake; yet they raised their swords against the Muslims.
And even Iblīs could not have imagined the extent of this evil. We seek refuge in Allāh from being forsaken.” [1]
[1] Narrated by at-Tabari in his book Tārīkh (vol. 3 page 1)“ʿAlī came out one day to deliver the Khutbah, and while he was speaking, the Khawārij gathered together on one side of the Masjid, so ʿAlī said, “Allāhu Akbar! A statement of truth but they intend falsehood by it.”
Yazīd bin ʿĀsim al-Muḥārabī (who was from the Khawārij) eagerly said, ‘Praise be to Allāh, our Lord will not abandon us, and we are in need of Him. O ʿAlī, are you trying to frighten us with death?!
As for me, then I swear by Allāh, I hope to strike you with this sword, very shortly, with the sharp side of the blade, then you will definitely know which of us is foremost for the fire.’
Then he left with the other Khawārij, he and his three brothers and he was the fourth. They were killed along with the Khawārij in the battle of an-Nahr and one of them was killed after that in the battle of Nākhīla.” [1]
They will be driven almost to insanity like creatures afflicted by rabies: Mu’aawiyah Ibn Abee Sufyaan (radiyallaahu ‘anhumaa) said that Allaah’s Messenger (ﷺ) said:“There will appear in the last days young people with foolish thoughts and ideas. They will give talk with the best of speech, but they will go out of Islam as an arrow goes through its prey, their faith will not pass their throats. So, wherever you find them, kill them, for there will be a reward for their killers on the Day of Resurrection.”
They will recite the Qur’an thinking it is in support of their ideas, yet it against them. They will fill their sermons with recitation of the Allaah’s Book, but they will not understand it as it was intended by Allaah.“There will appear among my ummah people who will be dominated by desires like rabies which penetrates its victims. There remains not a vein and nor a joint but it penetrates it.” (Hasan: Abu Dawood 4597)
Source: From the taped cassette (no.11), recorded in the month of Dhul-Hijjah 1408H (1987CE) at ‘at-Tawiyyatul-Islaamiyyah’. This is the Salafi position towards these rebellious evil-doers. Ibn Baaz (rahimahullaah) also said:They are not to be co-operated with, nor are they to be given salaams (salutations). Rather, they are to be cut off from, and the people are to be warned against their evil for they are a fitnah (tribulation) and are harmful to the Muslims – and they are the brothers of the Devil!![]()
The Prophet (ﷺ) said about them:“That which is apparent from the Prophetic narrations is that they are unbelievers. The correct and apparent view from the textual evidences is that on account of their extremism and their expulsion of Muslims from the fold of Islaam and declaring Muslims to be from the eternal inhabitants of the Hellfire, that they (themselves are in reality) unbelievers.”
يَخْرُجُونَ مِنَ الدِّينِ كَمَا يَخْرُجُ السَّهْمُ مِنَ الرَّمِيَّةِ ثُمَّ لاَ يَعُودُونَ فِيهِ هُمْ شَرُّ الْخَلْقِ وَالْخَلِيقَةِ“The Khawaarij are the dogs of the Hellfire.” (Ibn Maajah, 173 from Ibn Abee Awfaa)
يَقْتُلُونَ أَهْلَ الإِسْلاَمِ، وَيَدَعُونَ أَهْلَ الأَوْثَانِ، لَئِنْ أَنَا أَدْرَكْتُهُمْ لأَقْتُلَنَّهُمْ قَتْلَ عَادٍ“They will pass clean through the religion just as the arrow passes through the prey, and they will never come back to it. They would be the worst among the creation and the creatures.” (Saheeh Muslim 1067 from Abu Dharr)
They began by the rebelling against the Prophet, then against Uthmaan (resulting in his assassination), then against Alee, when they became a fighting force, and one of them eventually killed Alee, and since they have appeared in each and every era rebelling against the Muslims and their rulers. And there will come a day when the Anti-Christ will appear in their ranks: Abdullaah bin ‘Umar (radiyallaahu anhumaa) said that the Messenger (sallallaahu alayhi wasallam) said:“They will kill the Muslims but will not disturb the idolaters. If I should live up to their time, I will kill them as the people of ‘Aad were annihilated (by Allaah).”
This hadeeth is graded Hasan by Shaikh al-Albaanee in Saheeh al-Jaami’ (no. 8171), and it is narrated by Ibn Majah from Ibn Umar.A group will emerge who will recite the Qur’aan but it will not go beyond their throats. Every time a faction amongst them emerges it will be cut off. Every time a faction amongst them emerges it will be cut off, until the Dajjaal appears amongst them.”![]()
Hahaaa genge la munyaziMnyaaaazi MUNGU kama kawaida yao
Diñi zenyewe za kigeni , wapumbav Sana hawa ,ukisikia watumwa ndio hawajamii isiyostaarabika inathamani dini zaidi ya utu, hawa ni watu wapuuzi na wasio jielewa.
Wapo kutoka incjmhi za kiarabu ola nimewasahau na bongo mbona kuna Sheikh alinusurika kulipuliwa kwa sababu ya kuwapinga hao hadharani na wengine walijeruhiwa kama sio kufariki katika huo mlipuko ...


It was after this that Abdullah Ibn Salam became a Muslim.“The Prophet came to Medina and the Jews were apprehensive so I went to see him and when I saw him, I knew straight away that was not the face of a liar. I heard him say: ‘Keep the family ties, pray to your Lord whilst the rest of the people sleep and spread the salaam (salutations).”
This sect is known for its ignorance, foolishness, haste and violence. They describe their actions as Jihad, but in reality nothing could be further from the truth. What they engage in is murder, destruction and mass killing.“There will appear a people at the end of time, young in age and foolish in thought. They will speak with the best of speech amongst the creation, yet faith will not sink beyond their collarbones. They will exit the religion just as an arrow goes through it target.” (Collected by Bukhari and Muslim)
He also said,“And there is no doubt that this act can only be undertaken by one who does not believe in Almighty God or the Last Day. You will not find anyone who believes in God, or the Last Day with correct and sound belief performing this criminal and vile act due to which great harm and corruption has occurred. Only vile souls, which are filled with enmity, jealousy, evil, corruption and absence of faith in God and His Messenger, can perform the likes of these acts. We ask God for wellbeing and safety.”
The Salafi Scholar of Riyadh in Saudi Arabia, Dr. Salih Al-Fawzan stated (slightly abridged):“And there is no doubt that this is from the greatest of crimes and from the greatest types of corruption in the earth. And those who perform the likes of this are more deserving of being killed and being restrained on account of what they have committed of great sin. We ask God that He makes them lose their efforts and shackles them and their likes and that He saves us from their evil and the evil of those like them, and that He utterly destroys their plots, indeed He is Lofty and Majestic, and Generous and Kind.” (Majmu Fatawa Ibn Baz 9/253-255).
The appearance of the ideology of Al-Shabab (Somalia), ISIS (Syria and Iraq), Boko Haram (Nigeria) and Al-Qaeda in the 21st Century is not a new phenomenon. Muslim governments over centuries have encountered these types of rebellious movements known in Islamic terminology as the Khārijites. Along with the Shi’ītes (embodied in the modern-day Iranian regime), these Khārijites have never recognized any legitimacy except their own. Their goal being to seize power and to establish a regime of merciless brutality, in the name of “justice”! The great Salafi scholar and historian, Ibn Kathīr, who died over seven centuries ago penned the following words that resonate strongly in our times, and one senses the deep insight of this scholar. He said, regarding the Khārijites:“So there are extremists who obligate Jihād in any and every situation without applying any pre-conditions or principles. They do so even if the Muslims are weak and powerless, and even if they do not have a Ruler over them. So each one fights the “enemy” and engages in battles and skirmishes without a legitimate rulership, and they kill the non-Muslims whom it is not permissible to kill. They kill people who have a treaty with the Muslim countries and they kill those who are protected by agreements and covenants. So this is extremism and not Jihād. Rather, these extremists go even further by blowing up homes, residential buildings and built-up areas of cities. They kill Muslims and non-Muslims, young and old, males and females, mercilessly. They put terror and fear into the Muslims and non-Muslims who live under the protection of the Muslim governments. Then they have the audacity to call that Jihād! Rather that is corruption and not Jihād. They draw the Muslims into evil, destruction and ruination. Jihād has pre-conditions and governing principles that are made clear in the books of Quranic Commentary, Prophetic Tradition and Islamic Jurisprudence.”
This is a bleak reminder of what can befall nations if these extremists are allowed to flourish without restraint.“If they ever gained strength, they would surely corrupt the whole of the earth, including Iraq and Syria. They would not leave alone a child, whether male or female, neither a man or a woman. This is because as far as they are concerned the people have caused corruption. A corruption that cannot be fixed except by mass killing!“ (See Al-Bidāyah, 10/584-585).
Another scholar, Ibn Al-Jawzī (died 1200CE) said:“Neither the scholars of old nor of these times, ever differed about the Khārijites. They regarded them as an evil people who were disobedient to Allāh and His Messenger even though they prayed, fasted and exerted themselves in worship. And all of this was of no benefit to them.” (Ash-Sharī’ah 1/135)
“They permitted the killing of children, yet they did not allow the eating of any fruits of trees without paying for it! They tired themselves out with worship, and would frequently stay awake, yet they raised their swords against the Muslims. Even Satan himself could not have imagined the extent of their evil!” (Talbīs Iblīs, p. 91)
Parents too have a mighty responsibility to cultivate their children upon the true and correct Salafi understanding of Islām, so that they are not deceived by these impostors.“They will recite the Qurān but it will not go beyond their throats. They will exit the Religion just as an arrow passes swiftly through its target.”
The Prophet Muhammad (may the peace and blessings of God be upon him) explained to his Disciples that which was revealed in the Qurān, and they in turn, acted in accordance to that. The Prophet (may the peace and blessings of God be upon him) would never harm women, children and non-combatants, and he forbade others from that. He would sometimes establish treaties with the severest of enemies hoping that some good would result from it. He made peace treaties with the Jews of Madinah, the idol-worshippers of Makkah and with the Christians. These are undeniable facts. Islām is not, as is asserted by some, a blood-thirsty religion, nor does Islām desire fighting just for the sake of fighting. Unfortunately, the modern-day “Extremist-Islamists” have marred the beauty of Islām, distorted the concept of Jihād and turned countless people away from looking into the true message of the Prophet Muhammad (may the peace and blessings of God be upon him).“Allāh does not forbid you to deal justly and kindly with those who did not fight against you on account of Religion, and they did not drive you out of your homes. Indeed Allāh loves those who deal with equity.” (Qurān 60:8-9)
And there is the statement of Allah, the Mighty and Majestic, when He sent Moses and Aaron to the Pharaoh:“Indeed in the Messenger of Allāh, you have a fine example.” (Qurān 33:21)
“Call to the Path of your Lord, with wisdom and a good admonition. And debate with them with that which is best.” (Quran 16:125)
“And who is better in statement than he who calls to Allah and does righteous deeds.” (Quran 41:33)
“And by the Mercy of Allah, you (O Prophet) dealt with them gently. And had you been severe and harsh-hearted, they would have broken away from about you so pass over their faults, and ask Allah’s forgiveness for them and consult them in the affairs.” (Quran 3:159)
We ask Almighty God (Allah) to enable every Muslim and non-Muslim to fully understand these words and to comprehend the true Islamic position with respect to the people of misguidance. We also ask Him to grant every person the ability to grasp the true message and beauty of Islam as it was revealed to the noble Prophet of Islam.“So speak to him with a word that is soft, so that perhaps he may remember or fear (his Lord).” (Quran 20:44)





