Al-Shabaab wateka Hotel na kuua watu 12 Somalia

Al-Shabaab wateka Hotel na kuua watu 12 Somalia

$23m ni pesa nyingi,pesa,elimu ya pa kupata silaha,ujuzi wa mapigano..wanapataje!?..hasa mtaji walioanzia
Kwani unapoambiwa Alshabab ni affiliates WA alqaida na ISIS wewe unaelewa nini ? Au unafikiri hiyo mitandao ya Alqaida inapata wapi pesa , kuna mtandao mkubwa behind hivyo vikundi , mabwenyenye WA Arabian gulf kama Qatar ,Saudia ,Oman ,UAE NK ndio wanadonate resources ili kuendesha hayo makundi
 
Wapo kutoka incjmhi za kiarabu ola nimewasahau na bongo mbona kuna Sheikh alinusurika kulipuliwa kwa sababu ya kuwapinga hao hadharani na wengine walijeruhiwa kama sio kufariki katika huo mlipuko ...

Msimamo wa Shaykh Ibn Baaz, Shaykh Muqbil,
Shaykh Ahmad al-Najmy na Shaykh Saalih Aali Shaykh kuhusu Usama bin Laden.
 
Attachments

Mimi naamini kama ilivyokua katika mrima wa karmeli Mungu wa kweli alijitetea mwenyewe...

Hata saiz mwisho wa siku imani ya kweli itajulikana , tena sio kwa kuua wala kusababisha machafuko....nakeleka na hao watu
Kwani walikwambia wanatetea dini?
Wenyewe wanataka kupindua nchi hawapo kidini nawala dini hairuhusu kuwana.
 
Kwani unapoambiwa Alshabab ni affiliates WA alqaida na ISIS wewe unaelewa nini ? Au unafikiri hiyo mitandao ya Alqaida inapata wapi pesa , kuna mtandao mkubwa behind hivyo vikundi , mabwenyenye WA Arabian gulf kama Qatar ,Saudia ,Oman ,UAE NK ndio wanadonate resources ili kuendesha hayo makundi
Ni kweli Kuna mtandao nyuma ya vigenge vya ugaidi lakini mtandao siyo wa waarabu,Al baghdad kiongozi wa ISIS alikua ikulu na makamu wa rais Biden kabla albaghdad hatujamjua,wakimtumia kutengeneza nchi mpya ya levante ambayo ilikuwepo awali kwa kuzimega Iraq,Syria nk...mipango ni kuvuruga mashariki ya Kati kwa miaka 50,lakini hapo Somalia palikua na umoja wa mahakama za kiislam,uliiteka nchi yote na kujenga serikali imara tu,marekani na uingereza wakatengeneza magenge wakawapiga na ndipo ilipokuja kuibuka alshabaab
 
Back
Top Bottom