Kwani unapoambiwa Alshabab ni affiliates WA alqaida na ISIS wewe unaelewa nini ? Au unafikiri hiyo mitandao ya Alqaida inapata wapi pesa , kuna mtandao mkubwa behind hivyo vikundi , mabwenyenye WA Arabian gulf kama Qatar ,Saudia ,Oman ,UAE NK ndio wanadonate resources ili kuendesha hayo makundi$23m ni pesa nyingi,pesa,elimu ya pa kupata silaha,ujuzi wa mapigano..wanapataje!?..hasa mtaji walioanzia
Wapo kutoka incjmhi za kiarabu ola nimewasahau na bongo mbona kuna Sheikh alinusurika kulipuliwa kwa sababu ya kuwapinga hao hadharani na wengine walijeruhiwa kama sio kufariki katika huo mlipuko ...
Tlyou should be vice versa....like me
I love Muslims but I hate the drug they use called Islam.
Kwani walikwambia wanatetea dini?Mimi naamini kama ilivyokua katika mrima wa karmeli Mungu wa kweli alijitetea mwenyewe...
Hata saiz mwisho wa siku imani ya kweli itajulikana , tena sio kwa kuua wala kusababisha machafuko....nakeleka na hao watu
Ni kweli Kuna mtandao nyuma ya vigenge vya ugaidi lakini mtandao siyo wa waarabu,Al baghdad kiongozi wa ISIS alikua ikulu na makamu wa rais Biden kabla albaghdad hatujamjua,wakimtumia kutengeneza nchi mpya ya levante ambayo ilikuwepo awali kwa kuzimega Iraq,Syria nk...mipango ni kuvuruga mashariki ya Kati kwa miaka 50,lakini hapo Somalia palikua na umoja wa mahakama za kiislam,uliiteka nchi yote na kujenga serikali imara tu,marekani na uingereza wakatengeneza magenge wakawapiga na ndipo ilipokuja kuibuka alshabaabKwani unapoambiwa Alshabab ni affiliates WA alqaida na ISIS wewe unaelewa nini ? Au unafikiri hiyo mitandao ya Alqaida inapata wapi pesa , kuna mtandao mkubwa behind hivyo vikundi , mabwenyenye WA Arabian gulf kama Qatar ,Saudia ,Oman ,UAE NK ndio wanadonate resources ili kuendesha hayo makundi
Hadii kidini wapo, kwa sababu ktk utawala wao watatumia sheria za diniKwani walikwambia wanatetea dini?
Wenyewe wanataka kupindua nchi hawapo kidini nawala dini hairuhusu kuwana.