SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
- Thread starter
-
- #21
Wakishua wanazingua sana mzee..Watoto wa uswahilini hawa maskini wenzetu ndo wanazingua niliwahi kumsalimia demu wa kiswazi eti akanijibu "Koma hii ngoma ya gari"
Nikakumbuka wimbo wa Profesa J wa zali la Mentali na mimi nikajibu kimashairi nikaimba ile verse
"Nikasema Inshaallah hii yote sababu fukara🎶
"Nisije nikakubaka nitupwe sero niwe kafara🎶
That's according to your own assessment and not mine..Naelewa ila badilike af mnaona kuishi ivyo na kutukana ovyo ndio ujanja
Sometimes first appearance speaks last conclusionThose well-off folks sometimes do take us for granted. They're judging a book by its cover..
Ndio maana wezi wa posta na maeneo ya kishua wanavaa suti na moka..Sometimes first appearance speaks last conclusion
Acha zako mwana. Nitakuharibia Kichaa wangu..Mtu anavaa kata kei na anangeu usoni pamoja na lugha za kihuni lazima utaonekana ni kibaka tu
Ila ndio ivyo be smartThat's according to your own assessment and not mine..
Ngoja niuchune na yangu moyoni.Sad!1. Nilikuwa maeneo ya parking ya Magari pale kitengo cha mifupa MOI mwaka 2014, nikiwa ninamsubiria mgonjwa ndugu yangu, jamaa alikuwa ofisini kwake, akaja akakagua kama mlango wa gari lake umefungwa vizuri, kisha huyo bila salama akarudi tena ofisini kuendelea na shughuli zake.
NB: Sio kila kijana anayetokea Mbagala, Temeke, Kivule, Buza ni mwizi au kibaka. Wengine dressing codes zao ni za hovyo kwa sababu ya umasikini tu lakini hizo tabia za udokozi hawana hata kidogo.
2. Mdogo wangu graduate wa kidato cha 4 alipewa Jukumu la kumsindikiza mgeni (mzungu wa Norway) aende Kariakoo shimoni kushangaa shangaa kidogo, lakini yule aliyempa dili (mtoto wa kishua) akawa ana msisitiza mara kwa mara ya kuwa "hakikisha haukimbii na camera zake, alafu usimuombe ombe hela" sasa dogo akawa ananiuliza "brother hivi huyu jamaa mbona ananiona kama vile mimi ni kibaka?"
Nyie wenye Good life watoto wa kishua, please show us some respect aisee. Sio kila kijana wa uswazi ni mwizi au kibaka, ndio maana wengine ni ndugu zetu lakini tunaogopa hata kuwatembelea huko Ununio na Mbweni kwa maana kwa mavazi yetu tu mtatuona kama vile wezi..
Tatizo watoto wa kishua wanatuona vibaka kwa mavazi yetu wakati pesa za kununua nguo nzuri hatuna mkuu..mimi sioni shida hapo,
usipende kujiweka kitabaka sijui wakishua, wakidato nk
ni upuuzi tu
halafu dharau ni dharau hata maskini wa kutupwa anayo dharau
sio kweliTatizo watoto wa kishua wanatuona vibaka kwa mavazi yetu wakati pesa za kununua nguo nzuri hatuna mkuu..
Watu kama hawa wakikutana na Kichaa Dodoma watamuogopa na kudhania ni mtu wa usalama wa Taifa..Watanzania tuna kitu kimoja muonekano wako mtu anavokuangalia uso na mavazi anaanza kujenga fikra tofaut kichwan kwake
Huku mtaan jiran mwenye gar anapewa Salam za kutosha yaan utafikiri wanatoa msaada wa kula
I'm married to the streets. I know all that sh!t Mzee..sio kweli
Funguka tu mzee..Ngoja niuchune na yangu moyoni.Sad!
Eti wewe sio wa kishua?? Wewe mtoto mboga sabaJinsi mnavyo jiweka mionekano yenh imekaa kijambazi jambazi
Observation kuwa inakuwaga kweli
Mimi sio wakishua ila nimelelewa kishua
Mema ya nchi sio kwa mavazi. Mema ya nchi ni kwa connection. Vaa vizuri bila kuwa na connection uone jinsi utakavyosugua gaga..Kijana vaa vzuri uonekane mtu wa maana, acha ku justify ujinga wako kwasababu zisizo mashiko... Pia acha wizi kwasababu personality ndio uhalisia wa ulivyo kwa kiasi kikubwa... Jirekebishe otherwise utakosa mema ya nchi
ndo shida sasaI'm married to the streets. I know all that sh!t Mzee..