Alafu nyie watoto wa kishua, sio kila mtoto wa uswahilini ni kibaka. Wakati mwingine, please show us some respect

1. Nilikuwa maeneo ya parking ya Magari pale kitengo cha mifupa MOI mwaka 2014, nikiwa ninamsubiria mgonjwa ndugu yangu, jamaa alikuwa ofisini kwake, akaja akakagua kama mlango wa gari lake umefungwa vizuri, kisha huyo bila salamu akarudi tena ofisini kuendelea na shughuli zake.

NB: Sio kila kijana anayetokea Mbagala, Temeke, Kivule, Buza, Keko, Tandale, Vingunguti ni mwizi au kibaka. Wengine dressing codes zao ni za hovyo kwa sababu ya umasikini tu lakini hizo tabia za udokozi hawana hata kidogo.

2. Mdogo wangu graduate wa kidato cha 4 alipewa Jukumu la kumsindikiza mgeni (mzungu wa Norway) aende Kariakoo shimoni kushangaa shangaa kidogo, lakini yule aliyempa dili (mtoto wa kishua) akawa ana msisitiza mara kwa mara ya kuwa "hakikisha haukimbii na camera zake, alafu usimuombe ombe hela" sasa dogo akawa ananiuliza "brother hivi huyu jamaa mbona ananiona kama vile mimi ni kibaka?"

Nyie wenye Good life watoto wa kishua, please show us some respect aisee. Sio kila kijana wa uswazi ni mwizi au kibaka, ndio maana wengine ni ndugu zetu lakini tunaogopa hata kuwatembelea huko Ununio na Mbweni kwa maana kwa mavazi yetu tu mtatuona kama vile wezi.

~ SIPENDI SIASA ~
Hili nalo wa kishua wakalitazame, maisha ni milima kuna kupanda na kushuka huyu anayelia Leo kesho atacheka!Tuheshimiane vile tulivyo.
 
Watanzania tuna kitu kimoja muonekano wako mtu anavokuangalia uso na mavazi anaanza kujenga fikra tofaut kichwan kwake

Huku mtaan jiran mwenye gar anapewa Salam za kutosha yaan utafikiri wanatoa msaada wa kula
🤣🤣🤣 daaah wabongo sijui tupoje!!
 
Unapochangamana na wastaarabu unapaswa kuonekana mdtaarabu; kama unataka kuishi kama chokoraa Bali huko huko
 
Ubaya wa umaskini buana unaweza kutoka nyumbani vizuri na ukaona umependeza kabisa na ukasifiwa fika huko kwa matajiri bwana ndo utajua hujui😅😅😅😅kumbe kitambaa ulichovaa ni cha Sofa 😅😅.
 
1. Nilikuwa maeneo ya parking ya Magari pale kitengo cha mifupa MOI mwaka 2014, nikiwa ninamsubiria mgonjwa ndugu yangu, jamaa alikuwa ofisini kwake, akaja akakagua kama mlango wa gari lake umefungwa vizuri, kisha huyo bila salamu akarudi tena ofisini kuendelea na shughuli zake.

NB: Sio kila kijana anayetokea Mbagala, Temeke, Kivule, Buza, Keko, Tandale, Vingunguti ni mwizi au kibaka. Wengine dressing codes zao ni za hovyo kwa sababu ya umasikini tu lakini hizo tabia za udokozi hawana hata kidogo.

2. Mdogo wangu graduate wa kidato cha 4 alipewa Jukumu la kumsindikiza mgeni (mzungu wa Norway) aende Kariakoo shimoni kushangaa shangaa kidogo, lakini yule aliyempa dili (mtoto wa kishua) akawa ana msisitiza mara kwa mara ya kuwa "hakikisha haukimbii na camera zake, alafu usimuombe ombe hela" sasa dogo akawa ananiuliza "brother hivi huyu jamaa mbona ananiona kama vile mimi ni kibaka?"

Nyie wenye Good life watoto wa kishua, please show us some respect aisee. Sio kila kijana wa uswazi ni mwizi au kibaka, ndio maana wengine ni ndugu zetu lakini tunaogopa hata kuwatembelea huko Ununio na Mbweni kwa maana kwa mavazi yetu tu mtatuona kama vile wezi.

~ SIPENDI SIASA ~
mavazi siyo tabia ya mtu ila mavazi yanaweza mfanya mtu akaonekana siyo mtu mwema. Wapo watu wapo very smart lakini ni wezi hakuna mfano njoo mitaa ya samora , au pale Rita mpaka posta mpya kuja Imalaseko au Azam hapo mjini vijana wengi ni smart lakini ni matapeli hakuna mfano. Kwenye mavazi ni kweli watu tumetofautiana sana kiuchumi ila pamoja na umsakini wetu kutofautiana kuna namna unaweza ukaonekana bado ni mtu mwema licha ya umaskini wako. Nguo walau ujitahidi kuwa safi, kauli yako unapoongea. Kuna mdau humu amesema kweli unakuta jeans mfuko wa nyuma umeweka libendera au likitambaa linaning'inia na kichwani nywele hujui ni rasta au hujachana na hapo umevaa mlegezo lazima kwa yeyote atastuka. Pili siyo mpaka uwe mchafu au vipi hata mimi ningekuwa na gari nikiona mtu yupo kasimama karibu nitafanya hivo hivo haijalishi mchafu au msafi nitakagua tu. Dunia kwa sasa haitabiriki hujui muda wala ni yupi wa kukupiga tukio. Unakumbuka qnet au bitcoin watu walipigwa sana lakini waliofanya hivo walikuwa very smart hadi dress code. Ondoa shaka kulingana kuwa ukiwa wa uswazi ni mwizi hapana ni jinsi wewe mwenyewe utakavyoamua. Ni kweli asilimia kubwa wanawaponza wenzao kwa tabia hizo japo siyo wote wanaotoka uswazi ni wezi. Mimi mwenyewe nimekaa sana kinondoni uswazi na nimekaa sana na wahuni lakini nilikuwa najichunga kitabia pamoja na kuwa hali ilikuwa siyo nzuri vile. Pole sana ila cha kujifunza hapo siku nyingine epuka sehemu za magari yanapopaki maana wengi wameumia kuibiwa ndiyo maana unaona jamaa alistuka sidhani sababu ya mavazi ila ni kuona mtu yupo karibu na gari yake.
 
Poa mkuu wakishua..
 
Back
Top Bottom