SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
- Thread starter
- #121
Wewe sio mzembe??..Kwanini hao ccm wasiwe wewe na watoto wako inamaana we nimzembe umekosa kukimbilia fursa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sio mzembe??..Kwanini hao ccm wasiwe wewe na watoto wako inamaana we nimzembe umekosa kukimbilia fursa
Asante sana mkuu..Kweli Ila usijali Sana be positive.
Wakishua jau sana mwanangu mwenyewe..Upo kama mimi mkuu,
Wale wanaovaa vizuri sana na mtu anayejifanya wa dini sana huwa nakuwa naye makini mara mbili zaidi.
Kwa bahati mbaya sana asilimia kubwa ya wale wanaojifanya wa dini sana huwa sio watu wazuri , wengi wanaficha mambo yao kwa mgongo wa dini.
Mtu aliyepo smart sana kimavazi kwa asilimia kubwa kuna madhaifu ambayo anayaficha. Mara nyingi unakuta financially sio stable, au ana mapungufu katika utendaji wa kazi , hivyo anaficha madhaifu yake kwa looks.
Ni mara chache ukute tajiri au mtu competent akihangaika na mavazi.
Kwa hiyo ndugu hao unaokutana nao ni maskini wenye hela.
Duuh..1. Nilikuwa maeneo ya parking ya Magari pale kitengo cha mifupa MOI mwaka 2014, nikiwa ninamsubiria mgonjwa ndugu yangu, jamaa alikuwa ofisini kwake, akaja akakagua kama mlango wa gari lake umefungwa vizuri, kisha huyo bila salamu akarudi tena ofisini kuendelea na shughuli zake.
NB: Sio kila kijana anayetokea Mbagala, Temeke, Kivule, Buza, Keko, Tandale, Vingunguti ni mwizi au kibaka. Wengine dressing codes zao ni za hovyo kwa sababu ya umasikini tu lakini hizo tabia za udokozi hawana hata kidogo.
2. Mdogo wangu graduate wa kidato cha 4 alipewa Jukumu la kumsindikiza mgeni (mzungu wa Norway) aende Kariakoo shimoni kushangaa shangaa kidogo, lakini yule aliyempa dili (mtoto wa kishua) akawa ana msisitiza mara kwa mara ya kuwa "hakikisha haukimbii na camera zake, alafu usimuombe ombe hela" sasa dogo akawa ananiuliza "brother hivi huyu jamaa mbona ananiona kama vile mimi ni kibaka?"
Nyie wenye Good life watoto wa kishua, please show us some respect aisee. Sio kila kijana wa uswazi ni mwizi au kibaka, ndio maana wengine ni ndugu zetu lakini tunaogopa hata kuwatembelea huko Ununio na Mbweni kwa maana kwa mavazi yetu tu mtatuona kama vile wezi.
~ SIPENDI SIASA ~
Acha dharau dogoJinsi mnavyo jiweka mionekano yenh imekaa kijambazi jambazi
Observation kuwa inakuwaga kweli
Mimi sio wakishua ila nimelelewa kishua
Na wala si kila mtoto wa kishua ni mshua!1. Nilikuwa maeneo ya parking ya Magari pale kitengo cha mifupa MOI mwaka 2014, nikiwa ninamsubiria mgonjwa ndugu yangu, jamaa alikuwa ofisini kwake, akaja akakagua kama mlango wa gari lake umefungwa vizuri, kisha huyo bila salamu akarudi tena ofisini kuendelea na shughuli zake.
NB: Sio kila kijana anayetokea Mbagala, Temeke, Kivule, Buza, Keko, Tandale, Vingunguti ni mwizi au kibaka. Wengine dressing codes zao ni za hovyo kwa sababu ya umasikini tu lakini hizo tabia za udokozi hawana hata kidogo.
2. Mdogo wangu graduate wa kidato cha 4 alipewa Jukumu la kumsindikiza mgeni (mzungu wa Norway) aende Kariakoo shimoni kushangaa shangaa kidogo, lakini yule aliyempa dili (mtoto wa kishua) akawa ana msisitiza mara kwa mara ya kuwa "hakikisha haukimbii na camera zake, alafu usimuombe ombe hela" sasa dogo akawa ananiuliza "brother hivi huyu jamaa mbona ananiona kama vile mimi ni kibaka?"
Nyie wenye Good life watoto wa kishua, please show us some respect aisee. Sio kila kijana wa uswazi ni mwizi au kibaka, ndio maana wengine ni ndugu zetu lakini tunaogopa hata kuwatembelea huko Ununio na Mbweni kwa maana kwa mavazi yetu tu mtatuona kama vile wezi.
~ SIPENDI SIASA ~
Wanazingua sana wa kishuaNa wala si kila mtoto wa kishua ni mshua!