Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
mie niliwah tongozwa bwanaπππ..alikua mdada mtu mzima jm 40 hv amedivorce .sasa sikua namwelewa...anamanisha nn..kila siku ananiambia ww ktoto ww una mapaja mazuri sana na kalio zuri bas napotezea..akaanza nialika kusomea kwake kwake..tukiwa tunasoma ananipapasa mapajani mie sijui kitu kbs..kuna siku akasema aniunganishe niwe model wa kutangaza chupi..mh nikaogopa ..khaa..akaja akaniambia live hahaa nilikuwa naota mandoto mabaya...nw ameolewa tena sweden
Huyo dingi yako naye vipi....sehemu nyingine atuachie sisi kuziangalia[emoji16][emoji16][emoji16]nahis huelew..yaan mm mgongon na bagan imechora kbs jaman..eti unavutiwa[emoji16][emoji16][emoji16] mm hapana nimeanza zichukia..maana janq dingi aliniona akamuask mkewe[emoji16][emoji16]nilijisikia ovyo[emoji58]
Huyo dingi yako naye vipi....sehemu nyingine atuachie sisi kuziangalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yapo sana, kwenu wanawake yamekuwa mengi sana, sana.
Na kuna wake za watu kibao wana practice hii kitu.
Sasa unamfatilizia yeye sio?
Zinaonekana sana ..alimuuliza mama..hanaga upuuz huo
Kwanini usitembee sasa? Kwanini si ndo maumbile yako yalivo? Ama bila kuyaboost huchomoi?Hujaelewa..nilisema ziwa alilonalo mama samia wawwza tembea bila bra?
Unaona povu apo au unataka unirushie mate?
Shemeji hizo mistari na kwa mbele zipo? I mean hapa juu ya nyonyo.
Haya kajisomee mwenyewe[emoji116][emoji116][emoji116]
Four ways to get rid of bra strap marks naturally
had mgongoni shemeji..i mean mabegani na mgongoni..na chini ya nyonyo
Mimi huyo? Nilelewe Kwa mateso? Wazazi wangu wakiwa wanafanya nini sasa ama ulizani walikua wanajambiana jambiana badala ya kunipa malezi bora ambayo money can't buy?Hivi ww una shida gan kichwan mwako?sasa yalale yalegee ww yanakusumbua kitu gani??nyuzi nyingi sana upo very harsh..umelelew kwa mateso sana inaonekana
upuuz sana.sijajua shida nn
kama una maziwa madogo top sawa..nami nimezivaa sana hizo top ..ukiwa na maziwa makubwa top inayakusanya kifuani ..inakuwa km uneweka furushiMimi napenda kuvaa top kwa ndani na Kuna Bra nyingine zimeingia hivi karibuni hazina mikanda ya kujichora hivyo.
Aisee tuma picha yako kwanza tuone jinsi ulivyo mrembo
enda zako...usipende kujifanya unajua kila.kitu..nimekuona nyuzi nyingi sana had mamen wenzako wanakuuliza una shida gan..yan unajiona ndo unajua kutukana ww kebehi ww..mzuri ww hehehhee *****Mimi huyo? Nilelewe Kwa mateso? Wazazi wangu wakiwa wanafanya nini sasa ama ulizani walikua wanajambiana jambiana badala ya kunipa malezi bora ambayo money can't buy?
Hiu uzi bila picha unatupa wakati mgumu kwani hizi alama ni tofautitofauti na kila moja ina dawa yake tofauti...ta picha PM usaidiwe...
Sent using Jamii Forums mobile app
nimewah soma sehem..inawezekana sana hii mkuu80% ya wanawake wanavaa bra ambazo sio size yao na hapo ndio tatizo linapoanzia
Sent from my SM-G570F using Tapatalk