Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
mie niliwah tongozwa bwana😁😁😁..alikua mdada mtu mzima jm 40 hv amedivorce .sasa sikua namwelewa...anamanisha nn..kila siku ananiambia ww ktoto ww una mapaja mazuri sana na kalio zuri bas napotezea..akaanza nialika kusomea kwake kwake..tukiwa tunasoma ananipapasa mapajani mie sijui kitu kbs..kuna siku akasema aniunganishe niwe model wa kutangaza chupi..mh nikaogopa ..khaa..akaja akaniambia live hahaa nilikuwa naota mandoto mabaya...nw ameolewa tena sweden
Haya mambo yapo sana, kwenu wanawake yamekuwa mengi sana, sana.
Na kuna wake za watu kibao wana practice hii kitu.