Alama/ logo ya Nyoka katika fimbo kwenye mambo ya afya ina maana gani?


Tatizo lugha lakini jibu copy yako ni jibu tosha..
 
Alama ya mungu wa madawa na matibabu its an ancient symbol in greek relating to freemasonic sighns
 
Ahahaha. Mkuu Cham Bee, hapo inamaanisha matumizi ya alama hiyo ya nyoka asili yake ni hadithi ya Asclepius ambaye alikuwa akiabudiwa na wagiriki wa kale kama mungu wao wa uponyaji na ambaye waumini wake walitumia nyoka katika kuponya au kuponywa kwao.

Na huyo Asclepius aliyekuwa na mafanikio makubwa sana katika kuokoa maisha ya wengi kwa kutumia nyoka hao alikuja kulalamikiwa na mungu mwingine aliyeitwa Hades.

Huyu Hades alilalamika kwa mungu mkuu wao aliyeitwa Zeus aliyehofia kwamba Asclepius angeweza kuwafanya binadamu wasife, hivyo akaamua kumwua kwa njia ya radi. Hivyo ndivyo mimi nilivyoelewa.
 

Mku asante sana kwa maeleo yako Nilikuwa najua inahusiana na historia katika dini. Bahati mbaya sikujua ni katika maandiko yapi!
 
Hapo Sasa Kama Ni Biblia Ndo Napata Wasiwasi Kabisaa Maana Nyoka Alilaaniwa Na Akatumika Tena Kama Alama Ya Uponyaj Kwa Wana Wa Izrael Na Bado Bdo Tuna Mtafsir Shetan Kama Joka

Hapa hata Mimi nataka wataalamu wa Theolojia watusaidie Binafsi hapa pananichanganya
 

Kwenye noti ya 500 kuna tiba gani?
 
Najibu kama mtaalamu wa kada ya afya kwa mujibu wa W.H.O ambao hao ndio waasisi wa ile logo ni kwamba kuna aina ya mnyoo ambae alisumbua sana sasa baada ya kupata tiba ndipo WHO wakaweka logo ile kama kumbukumbu.

Sasa jamii na taasisi zingine zimechukua toka hapo WHO. hii ni kwa mujibu wa somo la Environmental Health katika mtaala wa kufundishia clinical medicine wa wizara ya afya
 
Yule sio nyoka N aina ya minyonyoo iliyokuwa inatumika enzi hizo kama tiba au kutoa sumu sehem iliyopata jeraha.
 

Raas@ Asante sana. Jibu alilolitoa Raas ndo hasa. Yule si nyoka ni mnyoo
 

Binafsi nimekuwa nikijihoji sana kuhusu hili bado nalitafiti nikijiridhisha na matokeo yake nitarejea
 


Mimi mwenyewe jana nimeiona hospitali ya machame ambayo ni ya kanisa KKKT.nikashindwa kuelewa ina maana gani.
 
So Mungu Huyu ameuumba nyoka kwanza akawauwe watu.. theni baadaye akahitaji kumtumia musa atengeneze nyoka wa wa shaba mpaka wamuangalie ndo wapone Je wana israel walioumwa na nyoka wakati mussa hayupo na hivo ikapelekea kushindwa muona huyo nyoka wa shaba si waliendela kufu?

Je kwa nn tu Mungu asingewaua wale nyoka wa sumu moja kwa moja wasiue watu.. Maana nadhan wingi wa wana israel walivokua tena jangwan (i hope walikua scatterd) wengi wao hawakuweza muona huyo nyoka wa shaba!! Je na hawa waliouawa hizo karne za kipindi cha yesu nao pia wanasubiri HUKUMU?
 
Mkuu yule siyo nyoka ila ni Mnyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…