wakuu habari za majukumu,mara kwa mara mkurugenz mkuu wa shirika la afya duniani anapotoa taarifa zake juu UVIKO-19 (ugonjwa wa virusi vya corona-19) nimekuwa napoteza focus ya kumsikiliza na badala yake hubaki kuitathmini nembo ya WHO ambayo ina nyoka ndani yake,swali la msingi kulikuwa na ulazima wa kumtumia kiumbe huyo ? Mbona kwangu hana mvuto wowote na zaidi naona anaichafua logo hyo,pia kwetu bongo kwenye sh 500 pia ya noti pia kulikuwa na picha ya nyoka pia was it neccesary? Mbona tuna wanyama wengi na wazuri wanaovutia,au kuna maelezo nyuma ya tuvionavyo?
wajuvi wa mambo karibuni mtujuze
View attachment 1449817View attachment 1449818
Sent using
Jamii Forums mobile app