Alama ya herufi "M" kiganjani

Alama ya herufi "M" kiganjani

Je, wewe una alama herufi"M kiganjani? Ni asilimia 1% tu ya watu duniani walio nayo alama hiyo! Hapa ndipo unapohitaji kujua sasa maana ya alama hiyo! Tiba za kiganjani au alama za kiganjani (Palmistry) ni njia ya zamani ya kutabiri siku zijazo na tafsiri ya utu wa mtu kutoka kwenye muundo wa mistari ya mikono.

Wakati mwingine mistari hii inaweza kuunda hata nambari na herufi. Moja ya herufi hizi inaweza kuwa herufi "M" ambayo umuhimu wake umechunguzwa na wataalamu wengi. Kama wengi wanavyoamini, mistari kwenye kiganja inaonyesha tabia na hatima ya maisha yetu. Herufi "M" imepewa kwa watu maalum tu.

Wamejaaliwa ufahamu (akili) wa ajabu na inawakilisha kuwa ni washirika bora kwa biashara yoyote. Ikiwa una watu unaowapenda wana herufi "M" ndani ya kiganja cha mkono, lazima ujue ukweli kwamba huwezi kuwadhihaki na huwezi kusema uwongo au kumdanganya mtu huyo kwa njia yoyote ile. Kwa kuwa na akili nyingi na ufahamu mkubwa, watu walio na herufi "M" kwenye kiganja hugundua kwa urahisi kuwa wamedanganywa au wamepotoshwa.

Wanawake ambao wana herufi "M" kwenye kiganja wana ufahamu (akili) wenye nguvu zaidi kuliko wanaume, hata kuliko wale wenye herufi "M" pia. Wamejaaliwa uwezo wa kusimamia na kuvuka vikwazo vyovyote maishani, na kujua jinsi ya kutumia rasilimali na fursa zinazopatikana.

MAANA YA HERUFI "M" KIGANJANI KWAKO

- ustadi wa uongozi yaani kuongoza vizuri kwenye jambo lolote

- utajiri (mtiririko rahisi wa pesa)

- wenye matumaini, furaha

- fursa nzuri kumimimika

Pia ishara hii ni tabia kwa manabii. Kwa hiyo ukiwa una alama hii mkononi mwako, wewe kweli ni mtu maalum katika ulimwengu huu!

Nakubalian na wew mkuu haswaa apo kweny kudanganywa asilimia kubwa huwa wanajua kabisaa izi ni kamba ukiona umemdanganya na akajaa bas kuna mawili either hajaamua kufuatilia iyo issue au kajua unamdangany na kakukaushia kimtindo
 
Kuna ndugu yang ana M mikono yote, na isitoshe majina yake yote matatu yanaanza na herufi M, yani jina lake linaanza na M, la baba yake linaanza na M na la ukoo pia linaanza na M lkn bado ana hustle kuuza mihogo ya kukaanga shuleni maana kila analolifanya halishikiki.

Hata hiyo mihogo kuna kipindi akiuza hata hiyo faida haioni.
Sasa na hapo napo vipi ndugu mtaalam wa nyota?
Hata hiyo mihogo anayouza inaanza na M! Hapa utajua hujui.
 
Nakubalian na wew mkuu haswaa apo kweny kudanganywa asilimia kubwa huwa wanajua kabisaa izi ni kamba ukiona umemdanganya na akajaa bas kuna mawili either hajaamua kufuatilia iyo issue au kajua unamdangany na kakukaushia kimtindo
Na wao ni waongo wakubwa sana ila huwezi kuwagundua kwenye uongo wao labda utumie muda sana na kuchambua
 
Mliotuma picha wooote hakuna mwenye herufi hiyo m niwaambie kitu,mwenye herufi hiyo kiganja chote hujichora hiyo alama kwa uzuri kabisa pasipo tualama tudogo tudogo
 
Je, wewe una alama herufi"M kiganjani? Ni asilimia 1% tu ya watu duniani walio nayo alama hiyo! Hapa ndipo unapohitaji kujua sasa maana ya alama hiyo! Tiba za kiganjani au alama za kiganjani (Palmistry) ni njia ya zamani ya kutabiri siku zijazo na tafsiri ya utu wa mtu kutoka kwenye muundo wa mistari ya mikono.

Wakati mwingine mistari hii inaweza kuunda hata nambari na herufi. Moja ya herufi hizi inaweza kuwa herufi "M" ambayo umuhimu wake umechunguzwa na wataalamu wengi. Kama wengi wanavyoamini, mistari kwenye kiganja inaonyesha tabia na hatima ya maisha yetu. Herufi "M" imepewa kwa watu maalum tu.

Wamejaaliwa ufahamu (akili) wa ajabu na inawakilisha kuwa ni washirika bora kwa biashara yoyote. Ikiwa una watu unaowapenda wana herufi "M" ndani ya kiganja cha mkono, lazima ujue ukweli kwamba huwezi kuwadhihaki na huwezi kusema uwongo au kumdanganya mtu huyo kwa njia yoyote ile. Kwa kuwa na akili nyingi na ufahamu mkubwa, watu walio na herufi "M" kwenye kiganja hugundua kwa urahisi kuwa wamedanganywa au wamepotoshwa.

Wanawake ambao wana herufi "M" kwenye kiganja wana ufahamu (akili) wenye nguvu zaidi kuliko wanaume, hata kuliko wale wenye herufi "M" pia. Wamejaaliwa uwezo wa kusimamia na kuvuka vikwazo vyovyote maishani, na kujua jinsi ya kutumia rasilimali na fursa zinazopatikana.

MAANA YA HERUFI "M" KIGANJANI KWAKO

- ustadi wa uongozi yaani kuongoza vizuri kwenye jambo lolote

- utajiri (mtiririko rahisi wa pesa)

- wenye matumaini, furaha

- fursa nzuri kumimimika

Pia ishara hii ni tabia kwa manabii. Kwa hiyo ukiwa una alama hii mkononi mwako, wewe kweli ni mtu maalum katika ulimwengu huu!
Hiyo M unayoongelea inafanana na hii?
 
Attachments

  • IMG_20220928_144510_471.jpg
    IMG_20220928_144510_471.jpg
    153.5 KB · Views: 32

[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna ndugu yang ana M mikono yote, na isitoshe majina yake yote matatu yanaanza na herufi M, yani jina lake linaanza na M, la baba yake linaanza na M na la ukoo pia linaanza na M lkn bado ana hustle kuuza mihogo ya kukaanga shuleni maana kila analolifanya halishikiki.

Hata hiyo mihogo kuna kipindi akiuza hata hiyo faida haioni.
Sasa na hapo napo vipi ndugu mtaalam wa nyota?
Ana M nyingi sana ukijumlisha na ya mihogo junla yake 4.
4M
 
Ninachojiuliza hapa ni kwa nini hizo M ziko more prominent kwenye mkono wa kushoto?

Nilidhani ni mimi tuu kwangu, lakini kilichonishangaza humu hata picha mnazotuma wakulungwa M inaonekana vizuri zaidi mikono yenu ya kushoto kuliko kulia.
 
Who told you wako group O? Majority duniani wana group O, few wana AB, na wenye M duniani wapo 1% tuu.

Sasa fanya cross multiplication hapo.
Una uhakika group O ni wengi kuliko group zingine?
 
Back
Top Bottom