Alama ya herufi "M" kiganjani

Alama ya herufi "M" kiganjani

Wewe mwenyewe utafiti wako umepata wenye M ni asilimia ngapi, maana kwa mikono iliyotumwa humu ni zaidi ya asilimia moja.
 
20220928_165500525.jpg
 
Naona asilimia Kubwa ya Watu wana M
 
Nina M mikono yote miwili,ila sioni hiyo flow ya madusko
Endelea kupambana weka juhudi utafanikiwa. Na katika sifa za Wenye M zilizoainishwa hapo ziko mbalimbali, nadhani mtakuwa mnazo kwa Wenye M, lakini kwa sababu pesa ndio kila kitu basi watu humu mmekomaa na Pesa tu kuwa hamuna na mna M, bila kujali umuhimu wa Sifa zingine.

Msichokijua huo ni Ufafanuzi wa Jumla kwa wenye M, pia ufafanuzi huo ni baadhi tu kwani yako mambo mengi kuwahusu M. Na pia sio lazima uwe na sifa zooote kisa Wewe ni M. Unaweza ukawa nazo kadhaa kati ya hizo kwasasa huku Sifa nyingine kama pesa mnayoihubiri hapa ikaja taratibu baadae kwa kutia juhudi(Kwa sababu watu wa M pia ni wapambanaji hawakati tamaa).

Ukikata tamaa utabaki na sifa chache tu kuhusu M huku ukiendekea kulalamika huoni flow ya Madusko(Pesa)

Lakini kitu kingine yawezekana Mambo yako yakinyota yakawa yamechafuliwa ndio mana una hali hiyo(Acha nisifike huko hatudiscuss hayo mambo ya Nyota leo, maana kuna watu wengine hawaamini kabisa hayo Mambo.)
 
Kuna ndugu yang ana M mikono yote, na isitoshe majina yake yote matatu yanaanza na herufi M, yani jina lake linaanza na M, la baba yake linaanza na M na la ukoo pia linaanza na M lkn bado ana hustle kuuza mihogo ya kukaanga shuleni maana kila analolifanya halishikiki.

Hata hiyo mihogo kuna kipindi akiuza hata hiyo faida haioni.
Sasa na hapo napo vipi ndugu mtaalam wa nyota?
Msichokijua huo ni Ufafanuzi wa Jumla kwa wenye M, pia ufafanuzi huo ni baadhi tu kwani yako mambo mengi kuwahusu M. Na pia sio lazima uwe na sifa zooote kisa Wewe ni M. Unaweza ukawa nazo kadhaa kati ya hizo kwasasa huku Sifa nyingine kama pesa mnayoihubiri hapa ikaja taratibu baadae kwa kutia juhudi(Kwa sababu watu wa M pia ni wapambanaji hawakati tamaa).

Ukikata tamaa utabaki na sifa chache tu kuhusu M huku ukiendekea kulalamika huoni flow ya Madusko(Pesa)

Lakini kitu kingine yawezekana Mambo yako yakinyota yakawa yamechafuliwa ndio mana una hali hiyo(Acha nisifike huko hatudiscuss hayo mambo ya Nyota leo, maana kuna watu wengine hawaamini kabisa hayo Mambo(Nyota).)
 
Kuna maisha nayaona Kwa kweli nakubaliana, kwenye upande wa akili, kichwani pangu si haba, lakini pia usirogwe unidanganye.

Nina nguvu ya macho nilitaka mwanamke nikimtazana Kwa namna ya kumvuta, kukazia flan nikimuita atakuja na appointment itaoangwa na nitakula.

Kasoro yangu Sina nidhamu ya pesa. So kuukata kimaisha hii inawezekana ni sababu kuu. Sina roho mby kukupatia cash usolve ishu zako.
[emoji106]
 
Ana M nyingi sana ukijumlisha na ya mihogo junla yake 4.
4M
[emoji3][emoji3][emoji3] Acha bhana, maisha huwa yanabadilika. Chamsingi ni kumuomba Mungu na Kufanya kazi kwa bidii pia tusisahau kusave Money.
 
Back
Top Bottom