Alama ya herufi "M" kiganjani

Ninachojiuliza hapa ni kwa nini hizo M ziko more prominent kwenye mkono wa kushoto?

Nilidhani ni mimi tuu kwangu, lakini kilichonishangaza humu hata picha mnazotuma wakulungwa M inaonekana vizuri zaidi mikono yenu ya kushoto kuliko kulia.
Na ni kushoto tu. Haijawahi kukaa mkono wa kulia
 
Atakwambia Bora yeye anauza lkn wapo inaowaozea.
 
Akhsante sana na mno Mwenyezi Mungu kwa kunipa Alama hili ya M tena katika Viganja vyangu vyote Viwili.

Ama hakika sijiiti MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' Kimakosa.

Mwisho nitoe Shukran nyingi zaidi Kwako Mleta Mada ( Uzi ) kwa Ufafanuzi wako na Maelezo yako mazuri juu ya hili Alama M kwani mengi uliyoyaelezea hapa kwa 99.999999% ninayo.

Uwe na Maisha Marefu na Baraka tele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…