Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
M ni MALAYA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa umenisema na M yangu yaan mulemuleNa wao ni waongo wakubwa sana ila huwezi kuwagundua kwenye uongo wao labda utumie muda sana na kuchambua
Mkuu Huna damu. Wahi hospital chapchp kabla mambo hayajahalibika aiseeMsije kunikata tu kiganja changu [emoji3]View attachment 2370689
Na ni kushoto tu. Haijawahi kukaa mkono wa kuliaNinachojiuliza hapa ni kwa nini hizo M ziko more prominent kwenye mkono wa kushoto?
Nilidhani ni mimi tuu kwangu, lakini kilichonishangaza humu hata picha mnazotuma wakulungwa M inaonekana vizuri zaidi mikono yenu ya kushoto kuliko kulia.
Yes sirHizo tetekuwanga au
Mkuu,ulipata chuo?umevaa na pete boss. 😀😀😀😀😀
Wenye M wote mkononi lazima watoboe mi sina M kwenye kiganja naenda kuichora.Kivip mkuu
KweliAngalau hii inarelate
White hujambo?Mimi ninayo na nina akili kubwa na za ajabu sana, kwani mpaka sasa hivi nimefanikiwa kugundua mambo makubwa sana.Imagine juzi nimegundua time katika universal model.
View attachment 2370527View attachment 2370528View attachment 2370529
Ndio, nina Masters ya kumeneji MAKAMPUNI!Mkuu,ulipata chuo?
Dalili ya kupaniki ni nini?Mkuu mbona umepaniki? Amesema most of them wapo group O hajasema wenye group O wana M
yeah boss i have wife with two kidsumevaa na pete boss. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
not realy i have A+ blood group the same with my all children'sMost of them wako group O la damu pia
M yako maana yake Mfuko Mbovu🤣
Atakwambia Bora yeye anauza lkn wapo inaowaozea.Kuna ndugu yang ana M mikono yote, na isitoshe majina yake yote matatu yanaanza na herufi M, yani jina lake linaanza na M, la baba yake linaanza na M na la ukoo pia linaanza na M lkn bado ana hustle kuuza mihogo ya kukaanga shuleni maana kila analolifanya halishikiki.
Hata hiyo mihogo kuna kipindi akiuza hata hiyo faida haioni.
Sasa na hapo napo vipi ndugu mtaalam wa nyota?
Akhsante sana na mno Mwenyezi Mungu kwa kunipa Alama hili ya M tena katika Viganja vyangu vyote Viwili.Je, wewe una alama herufi"M kiganjani? Ni asilimia 1% tu ya watu duniani walio nayo alama hiyo! Hapa ndipo unapohitaji kujua sasa maana ya alama hiyo! Tiba za kiganjani au alama za kiganjani (Palmistry) ni njia ya zamani ya kutabiri siku zijazo na tafsiri ya utu wa mtu kutoka kwenye muundo wa mistari ya mikono.
Wakati mwingine mistari hii inaweza kuunda hata nambari na herufi. Moja ya herufi hizi inaweza kuwa herufi "M" ambayo umuhimu wake umechunguzwa na wataalamu wengi. Kama wengi wanavyoamini, mistari kwenye kiganja inaonyesha tabia na hatima ya maisha yetu. Herufi "M" imepewa kwa watu maalum tu.
Wamejaaliwa ufahamu (akili) wa ajabu na inawakilisha kuwa ni washirika bora kwa biashara yoyote. Ikiwa una watu unaowapenda wana herufi "M" ndani ya kiganja cha mkono, lazima ujue ukweli kwamba huwezi kuwadhihaki na huwezi kusema uwongo au kumdanganya mtu huyo kwa njia yoyote ile. Kwa kuwa na akili nyingi na ufahamu mkubwa, watu walio na herufi "M" kwenye kiganja hugundua kwa urahisi kuwa wamedanganywa au wamepotoshwa.
Wanawake ambao wana herufi "M" kwenye kiganja wana ufahamu (akili) wenye nguvu zaidi kuliko wanaume, hata kuliko wale wenye herufi "M" pia. Wamejaaliwa uwezo wa kusimamia na kuvuka vikwazo vyovyote maishani, na kujua jinsi ya kutumia rasilimali na fursa zinazopatikana.
MAANA YA HERUFI "M" KIGANJANI KWAKO
- ustadi wa uongozi yaani kuongoza vizuri kwenye jambo lolote
- utajiri (mtiririko rahisi wa pesa)
- wenye matumaini, furaha
- fursa nzuri kumimimika
Pia ishara hii ni tabia kwa manabii. Kwa hiyo ukiwa una alama hii mkononi mwako, wewe kweli ni mtu maalum katika ulimwengu huu.
View attachment 2370789
View attachment 2370794
Hizo kwenye picha sio m"Naona asilimia Kubwa ya Watu wana M
Yap hiyo ndio m nazan katika wote ww waliotuma picha ww ndio mwenye mVipi kuhusu hii View attachment 2370827