Alan Walker, msanii wangu bora wa EDM

Alan Walker, msanii wangu bora wa EDM

EDM ni mziki fln hivi wenye energy ya kipekee. Iwe Mental energy au physical energy.

Ukiwa unafanya kitu chcht kinachohitaji energy kubwa kiakili au kimwili huu mziki ni companion mzr sana
Amini kwamba man
 
Alan walker is the best. Marshmello najitahidi sana kumsikiliza coz nae ni mwana EDM lkn hajawahi nikosha.

Nikiwa nafanya coding midnight huku nasikiliza ngoma za Alan huwa nahisi niko dunia fln hv ambayo haielezeki kiukweli.

My playlist:
Faded
Lost control
Alone
Diamond heart
Alone II
Lily
Sing me to sleep
All falls down
Legends never die remix

etc...
Mnoma sana uyu jamaa
 
Unity
Different World (remix)
Faded
The Spectre
Tired
Diamond Heart
Calma (remix)
Love the way you lie (remix)
...
 
Hata daft punk wanavaa helmets kama marobot wasionekane sura, inaweza ikawa ndio utambulisho wa edm artists
Oooh inawezekana,,ata Marshmello nae huvaa ivoivo mask
 
Mpaka leo dogo sura yake haijawahi kuonekana pamoja na ufame wote huo.
Huyo apo
IMG-20200212-WA0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alan walker is the best. Marshmello najitahidi sana kumsikiliza coz nae ni mwana EDM lkn hajawahi nikosha.

Nikiwa nafanya coding midnight huku nasikiliza ngoma za Alan huwa nahisi niko dunia fln hv ambayo haielezeki kiukweli.

My playlist:
Faded
Lost control
Alone
Diamond heart
Alone II
Lily
Sing me to sleep
All falls down
Legends never die remix

etc...
Ongezea na Different world mkuu.

Binafsi napenda nyimbo za AW though ni shabiki wa wengine kama:-

Kygo
Gryffin
Don diablo
Armin van buuren
Nick Romero
Jax jones
Oliver heldens
The chainsmokers
Cheat codes
Robin schulz
KSHMR
Jax jones
Martin solveig
Pettit biscuit etc..

EDM bongo bado watu wengi hawaijui wala kuilewa.

EDM is life mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oooh inawezekana,,ata Marshmello nae huvaa ivoivo mask
Haaaahaaaa kuna madogo wanasema marshmello anavaa ndoo kichwani. Sio kwa lile mask aisee.

Af marshmello ndo sura yake haijulikani kabisa. Atleast alan anaachia sura sometimes.

Kuna ile prank marshmello alifanya na shwanmendes ilituacha hoi aisee
 
Mashmello ashawahi kutoa lile ndoo, sura iliyooneka ndani ni ya Shawn Mendez, Ingawa nahisi walituchezea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom