Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Nilikuwa sifahamu,.. Kumbe jamaa alishaumaliza mwendo?,.. R.I.P AVICIIR.I.P Avicii
Gryffin - No body compares to you, all you need to know, bye bye, clearest blue, feel good, need your love, body back, hurt people, you remind me, whole heart, tie me down, heading home.Tuwekeeni majina ya hizo nyimbo za EDM tuzitafute na sisi tufaidi wakuu.
Unity alishirikiana na mashabiki wake mbali mbali duniani ni nyimbo nzuri sanaUnity
Different World (remix)
Faded
The Spectre
Tired
Diamond Heart
Calma (remix)
Love the way you lie (remix)
...
AW yuko poa sana mkuu.
Lakini kwangu "mimi" unapozungumzia muziki wa "EDM" basi jina la kwanza kuja kichwani ni "Chainsmokers".
Hakuna kama The Chainsmokers.
Mpaka leo dogo sura yake haijawahi kuonekana pamoja na ufame wote huo.alishaonekana sema picha nimeipoteza
zinaelezea nyimbo huwika ndio maana faded kujificha anamtafuta msichana aliyejificha sio bongo unamtafuta wakati yupo uchi u undance naeJamaa video zake huwa zinaonyesha sana controversial issue za darkside au ancient civilization, sijui kwanini anapenda hizi idziea ?