joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ndipo tunapofeli sisi,sio tu kwenye mziki hata maofisini ukiwa unajua sana watu watakupiga majungu na kukatisha tamaa.Hawa jamaa walikuwa wanajitahidi sana, na walau walikuwa wanajua muziki! Lakini nakumbuka waliwahi kupigwa sana vita na vyombo vikubwa vya burudani.
Ila P Funky,Master Jay walikuwa vizuri sana.