Albamu mpya ya Burna Boy ni moto mkali sana

Hawa jamaa walikuwa wanajitahidi sana, na walau walikuwa wanajua muziki! Lakini nakumbuka waliwahi kupigwa sana vita na vyombo vikubwa vya burudani.
Ndipo tunapofeli sisi,sio tu kwenye mziki hata maofisini ukiwa unajua sana watu watakupiga majungu na kukatisha tamaa.

Ila P Funky,Master Jay walikuwa vizuri sana.
 
Hapa nakubaliana kabisa na wewe, zama zile zingekuwa na Digital Technology tungefika mbali sana!
Hivi yule jamaa wa Fish-Club Cook Out alipotelea wapi na kazi zake za FL Studio ???
Kaachana na uproducer sasa hivi ana simamia Car Wash na mgahawa wake,ila studio bado anayo anatengeneza matangazo ya biashara.
 
Mzee unamsahau vipi hermy b..mnyama alifanya production Hadi interscope
 
Imagine ngoma ya kwanza kwenye album hii ni Collaboration na Youssou N’Doir. Mwanamziki bora na Tajiri zaidi Africa. Nina uhakika ukiwauliza wasanii wa hapa bongo hakuna mtu atakuwa anamjua, au wachache sana watakujibu, real recognize real.
 
Imagine ngoma ya kwanza kwenye album hii ni Collaboration na Youssou N’Doir. Mwanamziki bora na Tajiri zaidi Africa. Nina uhakika ukiwauliza wasanii wa hapa bongo hakuna mtu atakuwa anamjua, au wachache sana watakujibu, real recognize real.
Ukisema hivi watakuita "Hater" na "Mjuaji", lakini ndiyo ukweli wenyewe!
 
Hii album ina promo lakini african giant ni moto wa kuotea mbali..
Mpaka leo bado nairudia african giant wakati hii kuna ngoma mbili tu ndo nasikiliza
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nahreal aliboresha studio akapandisha bei weusi wakamkimbia licha ya kuwatengenezea hit songs nyingi, hapo utaona wasanii hawapp serious na production maana wengi huwa wanapenda upcoming producers ili wapewe kazi za bure ama bei chee kama return ya kuwatengenezea jina.

inshort structure ya music industry bongo ipo vibaya na inatoa support ndogo kwa watu kwenda international. Naamini hata Burna anaeka standards kubwa zaidi globally maana peak yake imekuja kipindi Nigeria imeshapiga hatua kubwa ukilinganisha na kipindi cha 2face ama P square
 
Mastering bado sana bongona wasanii hawaoni umuhimu, mfano nyimbo za Mensen selekta ni mbovu sana ukizisikiliza kwenye mziki mkubwa yani ni mbovu sana lakini kwakuwa wanapiga show wanapata pesa nobody cares
 
Wasanii wakubwa hasa weusi wakiwa namba moja wanapenda dezo, wallianza Bhits baada ya kutaka na producer afaidike iwepo mikataba inayoeleweka siyo producer anatengeneza mziki halafu anakupa bure au unalipa laki ndo imetoka, wakakimbia, nahreal same story, wakaenda wanene kwa lufa, nako mara kwa s2kizzy, yani wasanii wa bongo wanapenda dezo mtu akitaka wafanye boashar hapo wanahama haijalishi ni hit song ngapi wametengeneza watahama.
 
ndio maana kuendelea ni ngumu maana watu wanalalamika kutopewa stahiki zao wakati wao wanawanyonya wenzao
 
Ubahili wa wasanii wanakimbilia kwa kina kimambo sijui kizzy
 
ndio maana kuendelea ni ngumu maana watu wanalalamika kutopewa stahiki zao wakati wao wanawanyonya wenzao
Ubahili wa wasanii wanakimbilia kwa kina kimambo sijui kizzy
Jamani wasameheni wenzenu, maisha yamekuwa magumu siku hizi!😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…