Albamu mpya ya Burna Boy ni moto mkali sana

[emoji23][emoji23][emoji23]
brother kwani kuna ubaya kusema ukweli ulio mchungu
At least try to Sugar-Coat it,... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kama wanasoma hapa wanaweza kulia sana!
 
Ifike mbali Mara ngapi mkuu ... Yaani jamaa anajua kujitangaza. Juzi nimeona mabango ya nyimbo zake yakiwa yame bandikwa katika miji mbali mbali ya USA .. Yaani ni balaa ... Imagine uwekewe bango lako Newyork city
 
Ifike mbali Mara ngapi mkuu ... Yaani jamaa anajua kujitangaza. Juzi nimeona mabango ya nyimbo zake yakiwa yame bandikwa katika miji mbali mbali ya USA .. Yaani ni balaa ... Imagine uwekewe bango lako Newyork city
Jamaa hawazuzuki tu na umaarufu uchwara,,wanapiga kazi kwa kutumia akili na ubunifu wa juu kabisa..
 
Nimeisikiliza hii album,aisee Burna katulia sana humu..hii album ni ya moto..

βœ“Time flies ft Sauti Sol nimeilewa sana

βœ“23 ipo poa sana pia

βœ“ Na single iliyobeba jina la album nayo ya moto

Kama unaisikiliza hii album kwenye kifaa kizuri cha muziki utakubaliana na mimi Production ya hii album ya kiwango cha Juu...Bongo kuna utiriri wa maproducer wanaotoa ngoma zenye makelele,yaani hazina balance kabisa wala ladha
 
Kitendo cha kuikuta hii album kwenye torrent sites ina maana kubwa sana kwa msanii Burna Boy
 
Balaa chief
 
Halafu kuna mtu anakuja kumsifia eyo laizaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…