imma mkatoliki
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 218
- 159
Wewe njoo kichwa kichwa na kufanya habari hujui malengo ya wanasiasa weweMkuu wa Dar amesema anaupenda uislam na akifa ameandika wasia azikwe kiislamu.
Ameyasema hayo hivi karibuni jijini Dar Es salaam.
Video inakua hivi punde
Hana ndio lakini anamkana Yesu wake hadharaniMarehemu huna hana maamuzi , watakaokuwa hai ndiyo watamuamulia maziko yake.
Sio kweli,Marehemu huna hana maamuzi , watakaokuwa hai ndiyo watamuamulia maziko yake.
Anajua makosa au njia anazopitia, anajua matendo yake sasa, siyo yale ya zamani ya kuimba kwaya.Hana ndio lakini anamkana Yesu wake hadharani
Yesu pia atamkana soon tuAnajua makosa au njia anazopitia, anajua matendo yake sasa, siyo yale ya zamani ya kuimba kwaya.
Mwacheni ndiyo njia aliyoichagua.