Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

Kisa Mama, upuuzi wa namna gani hii??!!, kufikia 2025 kuna wanasiasa wanaume watasema ingelikua ni hiari yao wangeomba wazaliwe wanawake
 
Mimi kama Mkristu naifuta kabisa hiyo kauli yake, kwa sababu hakufanya hivyo kwa hiari yake. Bila shaka ameshinikizwa ama moja kwa moja au mazingira yamemlazimisha kufanya hivyo.
Duh, kauli atoe yeye halafu kufuta ufute wewe? Baada ya kifo ni hukumu haijalishi mtu anazikwaje. Kuzikwa kikristu au kiislamu hakuna ishu yeyote kwa mzikwaji. Yako mengi ya kufutwa mkuu hili halina msingi wowote.
 
Sidhani kama Mamlaka zinafanya uteuzi kwa kigezo cha dini.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema anaupenda uislam na akifa ameandika wasia azikwe kiislamu.

Ameyasema hayo hivi karibuni jijini Dar Es salaam.

Video inakuja hivi punde
Hivi huyo jamaa naye mnamchukulia serious?
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema anaupenda uislam na akifa ameandika wasia azikwe kiislamu.

Ameyasema hayo hivi karibuni jijini Dar Es salaam.

Video inakuja hivi punde
Na wewe unamuamini huyu bwana?
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema anaupenda uislam na akifa ameandika wasia azikwe kiislamu.

Ameyasema hayo hivi karibuni jijini Dar Es salaam.

Video inakuja hivi punde
Uchawa mpaka mazishini?. Kwa nini asianze kwenda msikitini kusali kwanza?
 
Afande Sele 'Seleman Msindi' mwislamu alisema akizikwa azikwe kiasili yaan apigwe moto baadae akili zilipomrudi akabadirisha mtazamo, kwa hio mkuu wa Mkoa bwana Alubati Chalamila na yeye tunampa muda akili zikimrudia ataeleza vizuri kwa sasa bado muda wake haujafika na hafi kesho wala kesho kutwa
Tukipata tena Rais mkiristo,najua atarudi tena kwenye ukristo wake! Hapa naona Chalamila anataka kumjaza Mama Samia aendelee kumteuwa kwenye dinner table!!
 
Tukipata tena Rais mkiristo,najua atarudi tena kwenye ukristo wake! Hapa naona Chalamila anataka kumjaza Mama Samia aendelee kumteuwa kwenye dinner table!!
Baraza la mawaziri 89% au zaidi ni cristian
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema anaupenda uislam na akifa ameandika wasia azikwe kiislamu.

Ameyasema hayo hivi karibuni jijini Dar Es salaam.

Video inakuja hivi punde
Hata Mimi naunga mkono na nitazikwa simple kama Waislamu na kwenye kaburi la kawaida kama la Mzee Mwinyi.

Niliskilia Naibu Spika akisema alikataa harusi ya Milioni 20 Hadi kuwa ya Laki 1 kwani anasema watu wanasahau ndoa wanahangaika na harusi.

Waislamu wako simple and genuinely sio kama wale wengine ambao Kila kitu ni Ligi na mashindano,hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom