johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu wa Mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amesema Ukristo una mambo mazuri ambayo Waislamu wanayaiga kadhalika Uislam una mambo mazuri ambayo Wakristo wanayaiga
Chalamila amesema ameandika Wosia kabisa atakapokufa Azikwe kama Muislamu na si vinginevyo
Chalamila amesema anashangaa kuona Maaskofu wakifa wanazikwa kwenye majeneza ya gharama Kubwa ilhali Yesu Kristo mwenyewe hakuzikwa akiwa ndani ya Jeneza
Wakati wote alipokuwa akizungumza maelfu ya Waislamu waliitikia Takbir Allah Akbar
Source: Mwanahalisi Digital
November 27 ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 🌹