Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

Nimesoma mada iliyopo mezani na watu wanavyo changia; nikaogopa sana
Ukweli ni kuwa mnampa Yesu wakati mgumu sana siku za mwisho kwani mnazidi kumkosanisha na Mungu kwa kumfanya yeye ndiye Mungu!
Take my word, mtakuja kukumbuka haya maneno hata miaka mingi ijayo!
 
How is that any concern of the mass ? Huku ndio kutumia rasilimali muda vibaya..., huo wakati angetumia kutumikia mabosi wake ambao ni wananchi wenye shida lukuki
 
How is that any concern of the mass ? Huku ndio kutumia rasilimali muda vibaya..., huo wakati angetumia kutumia mabosi wake ambao ni wananchi wenye shida lukuki
Mwenzako hapo anamfurahisha nambari wani kama hujajua
 
Mkuu wa Mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amesema Ukristo una mambo mazuri ambayo Waislamu wanayaiga kadhalika Uislam una mambo mazuri ambayo Wakristo wanayaiga

Chalamila amesema ameandika Wosia kabisa atakapokufa Azikwe kama Muislamu na si vinginevyo

Chalamila amesema anashangaa kuona Maaskofu wakifa wanazikwa kwenye majeneza ya gharama Kubwa ilhali Yesu Kristo mwenyewe hakuzikwa akiwa ndani ya Jeneza

Wakati wote alipokuwa akizungumza maelfu ya Waislamu waliitikia Takbir Allah Akbar

Source: Mwanahalisi Digital

November 27 ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 🌹
Badala ya kuelimisha jamii kuhusu uchaguzi wa serikali za Mitaa RC mzima unajitoa data. Tupo tutaona duration ya haya ayasemayo.
 
Malisa ndio anakesha kwa mtoto wa Mbowe akimpiga mizinga
Achana na mtoto wa Mbowe, kwani wewe una mtaka nani kati ya Mbowe au mtoto wake? Kwa upande wangu naona unadeal na Mbowe na siyo mtoto wake. Angalia hata comments zako lazima Mh Mbowe umtaje
 
Achana na mtoto wa Mbowe, kwani wewe una mtaka nani kati ya Mbowe au mtoto wake? Kwa upande wangu naona unadeal na Mbowe na siyo mtoto wake. Angalia hata comments zako lazima Mh Mbowe umtaje
Nakutaka wewe, una hips, na ukipaka lipstick unapendezaa
 
Back
Top Bottom