imma mkatoliki
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 218
- 159
Yesu wetu Yuko serious sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislamu wanazika yeyoteAtazikwaje kiislmu wakati yeye siyo muislam. Waislmu wana utaratibu wao wa kuzika na unafanywa na waislamu, na kwa walio waislamu atupishe huko.
Tumpe muda kidogoHe is Haunted
Kwanini atangaze leoWaislamu wanazika yeyote
Ameamua kumfuata aliyempa kazi.Yesu pia atamkana soon tu
Hiari yake. Akiingia uislam kwa faida na akiuacha kwa hasara yakeWewe njoo kichwa kichwa na kufanya habari hujui malengo ya wanasiasa wewe
Kwani akiingia ktk uislam ndio watu wa mkoa wa dar watakuwa waislam?Uzi ulipaswa kuandikwa "Albert Chalamila" na si Mkuu wa mkoa wa Dar manake anaweza kutumbuliwa ama kuhamishwa hata leo akaukana Uzi huu.
Kashindikizwa na Rais aliemteua?Mimi kama Mkristu naifuta kabisa hiyo kauli yake, kwa sababu hakufanya hivyo kwa hiari yake. Bila shaka ameshinikizwa ama moja kwa moja au mazingira yamemlazimisha kufanya hivyo.
Kama wapi?Yupo kila sehemu
Hujamjua RC Chalamila wewe, Yule ni Mkatoliki pure anachoongea ni too political.Mkuu wa Dar amesema anaupenda uislam na akifa ameandika wasia azikwe kiislamu.
Ameyasema hayo hivi karibuni jijini Dar Es salaam.
Video inakua hivi punde
Wayahudi walimkana hadharani na wakamsulubu,Yesu alisema ukimkana hadharani atakukana hadharani tusubiri
Kwa hiyo?Mkuu wa Dar amesema anaupenda uislam na akifa ameandika wasia azikwe kiislamu.
Ameyasema hayo hivi karibuni jijini Dar Es salaam.
Video inakua hivi punde