Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Zanzibar ni Nchi nyingine na ina waziri wake wa fedha, ina Mamlaka yake ya kodi na wanajiangia kodi. Kama bara mnawekewa kodi za kinyonyaji na hamlalamiki usitake na Zanzibar wapandishiwe.Upuuzi mtupu huu, kwa nini serekali isitengeneze flat rate za customs duties, ili zifanane kwa zanzibar na bara, hii ujinga utaisha kabisa, viwango vya bara vishushwe kidogo, na vya zanzibar viongezwe kidogo alimradi tupate fair rates ambazo zinalingana, we call this balancing, the rates.