Upuuzi mtupu huu, kwa nini serekali isitengeneze flat rate za customs duties, ili zifanane kwa zanzibar na bara, hii ujinga utaisha kabisa, viwango vya bara vishushwe kidogo, na vya zanzibar viongezwe kidogo alimradi tupate fair rates ambazo zinalingana, we call this balancing, the rates.