Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Usinione mi msela kisa jeans zangu kata k.
Nishazama nazo hadi ikulu we muulize hata JK.
Nishazama nazo hadi ikulu we muulize hata JK.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinione mi msela kisa jeans zangu kata k.
Nishazama nazo hadi ikulu we muulize hata JK.
"Sasa we una bati
usiku huu unenda wapi wakati hiyo bati
hata chai tu hupati,
asiye na kitu mi naona bora akabaki,
tusije mbele tukashikana mashati..."
Namkumbuka kwa kufa akiwa ambwia unga. Amechangia kuharibu vijana kwa kuwa muuza unga,amechangia kuua nguvu kazi na kurudisha nyuma uchumi wa nchi. Hafai kukumbukwa kwa zuri lolote.
Nishawa ........ Watoto warefu zaid ya Lil TK. "Kimafia'
Ni kwenye huu wimbo Ndo ulisema adhima yake ya kutafuta hela Kwa njia zote halali na isivyo halali
" Na mama usijari ,ipo siku ntakujengea, iwe Kwa huu mziki drugs au meno ya Tembo.
wewe na mkeo
Raha sana mkuu, memories never fade away
Nina machizi wenye hela zaidi ya huyo jacky pemba,
wenye realy love kama darkmaster mwanachemba.
sio masnitch flan,flan wanaongea ongea tu sijui kisa watoto wa flani,
wakati sisi tushawalea,tushawatoa,mara nyhngi sio chache
sura kama kijambio cha kuku!
m nduku wako uko nje nje kama wa mbuzi teja wewe na mtakufa sana bora umtafute ray c mapema
Uzi wa kumbukumbu Watu matusi