MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Me nashangaa... Pengine hafuatilii, Mwananchi katika wiki mbili hiz walikuwa na fukuza fukuza kufurahisha serikali. Prince Bagenda tunasikia alikuwa ndani toka Friday.Waandishi wanapenda kwani kupewa kesi za kuhujumu uchumi?
Serikali ilisem wao ndo watahusik n taatifa zote waandishinwanazipnda familia zao musoma wiki imepita sasa kuna kifo cha korona awajasem watu mpk video tunazo ila una mute kimya
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kila mtu anapenda kukaa na familia yake. Yakituzidi tuamke wote, sio kina Ansbert Ngurumo peke yao.