Albert Msando ‘amwaga’ vifaa vya Corona kwa wanahabari Arusha, adai hali ni mbaya sana

Me nashangaa... Pengine hafuatilii, Mwananchi katika wiki mbili hiz walikuwa na fukuza fukuza kufurahisha serikali. Prince Bagenda tunasikia alikuwa ndani toka Friday.

Kila mtu anapenda kukaa na familia yake. Yakituzidi tuamke wote, sio kina Ansbert Ngurumo peke yao.
 
Wimbo wa wiki hii corus yake inasema Taarifa Taarifa Taarifa.

Hao waandishi kwani nao wapo kwenye wale watu wanne wenye mamlaka ya kwenda mtaani kukusanya taarifa na kuzitangaza ?
 
Msando yeye sio daktari Wala waziri wa afya takwimu za hali mbaya Arusha kazitoa wapi na waandishi wetu Kama mabwege Fulani hivi walitakiwa wamuulize atoe takwmu za corona Hapo Arusha na aeleze alikozitoa

Lakini itizame hiyo miandishi imekaa Kama mibwege tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…