Kwa fununu zilizopo mwaka huu TBL ndio mwisho kudhamini hili shindano
MRS Tanzania
Wameshauriana weeee na Abbas, wakaona liwalo na liwe, kwani nini..
Hivi Miss world si wanafanya utafiti au nao watafunika kombe ?
Na wakiendelea kudhamini huu upumbavu tunaboycot vinywaji vyao tunahamia serengeti.
Ngoja nizipakie lager kwanza ujinga unitoke nitarudi hapa kwa miss Bibi bomba. Nimeshawahi seat ya mbele kabisa.
watajitokeza wengine na hawa TBL wanaweza kuendelea vile vile yangu machoKwa fununu zilizopo mwaka huu TBL ndio mwisho kudhamini hili shindano
mjadala huu hauna tija kwa taifa...
Ngoja nizipakie lager kwanza ujinga unitoke nitarudi hapa kwa miss Bibi bomba. Nimeshawahi seat ya mbele kabisa.
watajitokeza wengine na hawa TBL wanaweza kuendelea vile vile yangu macho
safi sana mkuu we kunywa tu ntalipa acha bili mezani
lundenga amemonopolize shindano
kwa kweli mimi binafsi toka 98 Basila mwanukuzi alikua miss nlianza kuangalia mpaka mwaka huu ila kwa upuuzi wa lundenga na bibi bomba wake nimejivua rasmi kuangalia shindano hilo
Miss anaulizwa je una mtoto anadai eti kama muheshimiwa alivoeleza ndo hivo wanaotaka habari zaidi kuhusu miaka yake waende mamlaka ya kutoa cheti huyu miss bibi bomba ni zero brain na.mkorogo uliozidi