Albert Msando atoa maoni juu ya majibu ya miss Tanzania na Lundenga

Albert Msando atoa maoni juu ya majibu ya miss Tanzania na Lundenga

Bibi bomba wetu hawezi kabisa kujieleza,amejikanyaga sana kwenye press conference...ndo mana akaamua kutumia kifaransa broken ili wadanganyika tumbwelembwele...Ila kwenye press wadanganyika wamemchanganya kabisa na maswali ya kiswahili...I wonder wangemulliza kwa ngeli nn kingetokea??
 
Wameshauriana weeee na Abbas, wakaona liwalo na liwe, kwani nini..

Hivi Miss world si wanafanya utafiti au nao watafunika kombe ?

Mimi nimejitolea kwenda kwa mguu ubalozi wa Uingereza Counsular section kuwakabidhi vielelezo vya fojari hii with dispatch book halafu tuone kama Uingereza huwa inatowa Viza kwa mijitu inayofojifoji.

Cc: Pasco
 
Last edited by a moderator:
mjadala huu hauna tija kwa taifa...
 
Wabongo ni balaa eti ni Mrs Tanzania aka Bibi Bomba..
 
tatizo lundenga anadhani wa Tanzania wa sasa ni wale wa zamani, hajajua mambo yamebadilika, na hizi simu za kupangusa watu wanauwezo wa kupata taarifa within a sec. yao leo ndio wamezidi kutudanganya
 
lundenga amemonopolize shindano
kwa kweli mimi binafsi toka 98 Basila mwanukuzi alikua miss nlianza kuangalia mpaka mwaka huu ila kwa upuuzi wa lundenga na bibi bomba wake nimejivua rasmi kuangalia shindano hilo

Hata usipoangalia wenzio wataangalia.
 
Miss anaulizwa je una mtoto anadai eti kama muheshimiwa alivoeleza ndo hivo wanaotaka habari zaidi kuhusu miaka yake waende mamlaka ya kutoa cheti huyu miss bibi bomba ni zero brain na.mkorogo uliozidi

hahahaa alisema kama hawaamini kama hana mtoto waende hospital, majibu ya hovyo sijapata kuona.
 
Sina uhakika sana na hiki ninachokiandika lakini nafikiri madhara ya haya mambo yatawaandama Lundenga na Miss Sitti kwa miaka mingi ijayo!
Lundenga amekubali kupoteza heshima aliyojijengea kwa miaka mingi ndani ya muda mfupi sana...usiku mmoja tu!
Bi. Sitti bado ni binti mdogo...miaka 18, hapana ni 23! Leo kafikisha 23, siku ile alikua na 18! Kakubali kuuvua utu wake kwa ajili ya taji la mwaka mmoja! Huyu ndo sielewi ni wapi atakuja a kufanya kazi kwa uaminifu! Tapeli mtupu!!!
 
Back
Top Bottom