Wewe hebu kafie mbele huko usituletee ushuzi wako hapa.
Ngoja nizipakie lager kwanza ujinga unitoke nitarudi hapa kwa miss Bibi bomba. Nimeshawahi seat ya mbele kabisa.
Lundenga is to be blamed for all of this shame not that bibi bomba, kamati ndo imemteua bibi bomba kuwakilisha miss Tz 2014, tukimzonga bibi bomba tutakuwa tunamuonea tu,i think lundenga has a lot to answer of this ridiculous miss Tz.
Umaarufu tu mpaka watu wanakana watoto wao.
Hahahaa simu za fyaaaaa fyaaaaa!!tatizo lundenga anadhani wa Tanzania wa sasa ni wale wa zamani, hajajua mambo yamebadilika, na hizi simu za kupangusa watu wanauwezo wa kupata taarifa within a sec. yao leo ndio wamezidi kutudanganya
Anaulizwa! Cheti cha zamani kilivyopotea ulienda kureport polisi?? Anajibu hakujiandaa na swali hilo!.. Sa kujibu ndio au hapana pia kunahitaji kujiandaa na hilo swali?? Maswali mengine anasema hatoyajibu! Sasa pale kwa press conference alienda kufanya nini???
Aisee sikujua bana. Basi wanzuki wapewe wakiwezeshwa wanaweza
mjadala huu hauna tija kwa taifa...