Albert Msando atoa maoni juu ya majibu ya miss Tanzania na Lundenga

Albert Msando atoa maoni juu ya majibu ya miss Tanzania na Lundenga

nafikili hili swala BASATA wanatakiwa waingilie kati. kama wakikaa kimya basi hakuna haja ya kuwa na chombo kama hiki Tanzania. Kama BASATA lime weza kuwa angalia wasanii wanao vaa miligezo na video zisizo na maadili wanazifungia. sasa kwanini swala hili wamelinyamazia?
 
Miss Lundenga wee hebu jiudhuru bs,wanajiudhuru mawaziri utakua ww vua taji kieleweke.
 
Anaulizwa! Cheti cha zamani kilivyopotea ulienda kureport polisi?? Anajibu hakujiandaa na swali hilo!.. Sa kujibu ndio au hapana pia kunahitaji kujiandaa na hilo swali?? Maswali mengine anasema hatoyajibu! Sasa pale kwa press conference alienda kufanya nini???
 
Nimeiona interview mwee Sitti kweli nhp magumashi.
 
Kuna tatizo kubwa na waandaaji( mzit na haish lundeng) na wasanii( Sit Mte- vu na Nasib Dangote) hawa ambao hutegemea kutumia umaarufu wa chama tawala kwenye kazi zao na kifikiri wanaweza kufanya watakavyo kama chama letu lile walivyofanya bmk. Hili liwe fundisho kwa wasanii na waandaaji wote.
 
Ngoja nizipakie lager kwanza ujinga unitoke nitarudi hapa kwa miss Bibi bomba. Nimeshawahi seat ya mbele kabisa.

Lundenga is to be blamed for all of this shame not that bibi bomba, kamati ndo imemteua bibi bomba kuwakilisha miss Tz 2014, tukimzonga bibi bomba tutakuwa tunamuonea tu,i think lundenga has a lot to answer of this ridiculous miss Tz.
 
Huyo bibi bomba kuna element za kughushi cha ajabu na kusikitisha mpaka sasa hatujasikia hata kuitwa utuoni na kughushi ni kosa la jinai usawa mbele ya sheria uko wapi?
 
Hivi ile mashine iliyonunuliwa kwa kodi zetu tukaambiwa inapima DNA haiwezi kutusaidia kujua umri halisi wa huyu mtu?
 
tatizo lundenga anadhani wa Tanzania wa sasa ni wale wa zamani, hajajua mambo yamebadilika, na hizi simu za kupangusa watu wanauwezo wa kupata taarifa within a sec. yao leo ndio wamezidi kutudanganya
Hahahaa simu za fyaaaaa fyaaaaa!!
 
Anaulizwa! Cheti cha zamani kilivyopotea ulienda kureport polisi?? Anajibu hakujiandaa na swali hilo!.. Sa kujibu ndio au hapana pia kunahitaji kujiandaa na hilo swali?? Maswali mengine anasema hatoyajibu! Sasa pale kwa press conference alienda kufanya nini???

Halafu tunaambiwe ana masters. Nadhani waandishi wa habari wakinda na kwnye vyeti vya shule wanaweza kuja na mengine mapya.
 
mjadala huu hauna tija kwa taifa...

kama huoni tija kwa taifa ni ajabu, sitti anaenda kuwakilisha watanzania na anabeba bendera ya Tanzania, sasa akienda huko na huu uvundo wake halafu waandaaji wa miss world wamrudishie airpot kwamba haruhusiwi kushiriki huoni nni aibu kwa Taifa? Na itaonekana tumevunda sana watu walikuwa wanapeleka mabondia fake kumbe wanasafirisha unga hii nayo iliaribu sana sifa ya nchi yetu, kwa hili wacha upige kelele tumechoka kutukanwa watanzania kichwa cha mwendawazimu kumbe wazimu wakupandikizwa na mafisadi, aache kujibu jeuri, hata uso unaonekana yuko 30. Avue taji baba yake alifanikiwa kuchakachua katiba, kwa hili limebuma.
 
Yani kweli serikali yetu imelala, mtu anasadikika kufoji umri wake kwenye nakala mbalimbali...leseni,passport,na cheti cha kuzaliwa lakini vyombo husika vimekaa kimya tuu kama vile hawafahamu kugushi ni kosa la jinai...mm kwa upuuzi huu nabadili uraia wangu maana huu upuuzi hauvumiliki wala kuzungumzika
 
watu wanashupaliaaa vitu wakati unakuta wao ndio mabingwa zaidi wa kudanganya umri kushinda hata huyo sitti mtemvu
 
Back
Top Bottom