Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Ndugu zangu, hasa wale wapenda mziki mzuri.
Njooni hapa tusaidiane kushangaa, tumewakosea nini Weusi? Au ni mimi ndo nimezeeka? Au matarajio makubwa kutokana na majina yao?
Mimi naona ni kelele tu kama za watoto fulani hivi wasiojulikana, hamna KITU pale tumepigwa.
Weusi kuweni siriazi, JIPANGENI.