Album "Air Weusi" ya WEUSI ni utopolo, tumepigwa mchana kweupe

Albums bora za wakati wote

1.Nitakufaje King crazy GK
2.Machozi lady Lady Jay
3.aka Mimi Albert Mangwea
4.machozi jasho na damu prof jay
5.binamu mwanafa
6.ugari juma Nature
7.J.O.S.E.P.H. prof jay
8.mtoto wa tandale diamond
9.slave become a king
10. mandojo na domokaya
toa slave becomes a king
alafu a.k.a mimi ni the best album sio namba tatu hata namba mbili kuiweka ni kosa.
 
Ukiona kitu hakijakupendeza ujue hakiko kwa ajili yakok
Tutolee mfano ngoma inayochana mawimbi billboard ni drivers license mchukue mtu wa kawaida muulize ile ngoma ina uzuri gani sidhani kama majibu utayapenda
Haya kuna huyu msanii wanamuita the jmosi na jpili a.k.a the weekend anatrend sana kwa sasa ila tafuta raia umuulize kuhusu the weekend atakwambia hana chochote cha kutisha amini ya kuwa kila shetani na mbuyu wake
Kwangu mimi nnawapongeza weusi kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kutuletea mziki mzuri nimeipakua album nzima kupitia audio mack na mda nikiwa niko na bando kama ngoma inavyodai nnaingia spotify kustream atleast niwape company wanangu wa mabongonyoo daraja bela kwa mamaake nikki mdogo wakee jonii

Ahsante nnawasilisha
 
Sikiliza bwana Nikki wa Pili, ile ni album mbovu kwa kipindi hiki cha miaka mitano ya Magufuli, ukweli ni lazima useme ili wakati ujao mtengeneze ngoma nzuri. Album ni mbovu mno, nyimbo zote tuna forward tu
 
Albums bora za wakati wote

1.Nitakufaje King crazy GK
2.Machozi lady Lady Jay
3.aka Mimi Albert Mangwea
4.machozi jasho na damu prof jay
5.binamu mwanafa
6.ugari juma Nature
7.J.O.S.E.P.H. prof jay
8.mtoto wa tandale diamond
9.slave become a king
10. mandojo na domokaya
G.k, ngwair na ndojo ile ni balaa tupu ... Nikikumbuka wanok noko, nikakumbuka niaje hatupatani ila maisha haya yanaenda kasi sana. Nilikuwa form 2 now nshakuwa mtu mzima.
Hapo naongeza na elimu dunia ya daz baba na album ya f.a ile ilikuwa na ngoma ya alikufa kwa ngoma
 
Albums bora za wakati wote

1.Nitakufaje King crazy GK
2.Machozi lady Lady Jay
3.aka Mimi Albert Mangwea
4.machozi jasho na damu prof jay
5.binamu mwanafa
6.ugari juma Nature
7.J.O.S.E.P.H. prof jay
8.mtoto wa tandale diamond
9.slave become a king
10. mandojo na domokaya
Hiyo album ya mandojo na domokaya ilikua kali sana.Ulikua unasikiliza nyimbo zote bila hata kuskip.
 
Hapo unewasilisha mtaa wako(bongonyoo) ila hujaweza kupinga hoja ya kuwa weusi ni utopolo mkubwa nowdays,njoo hapa Jamhuri nikununulie supu,au tangulia blue house kula bapa,waambie captain anakuja kulipa

Back
Top Bottom